chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Mkuu usiidharau juventus Turin na Fc Porto.Uingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
naiona LA liga ikiishia mtoano UCL..vipira havikua vya moto nn!?..Madrid unamleleka PSG?!Uingereza inapenya city tu
Timu za Spain kazi wanayo...hatare
Una uhakika Juve atatolewa na tottenham?Uingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
Wajomba ni bora kusubiri kwanza basi .Bacer ya sasa ni sawa nyuki wa mashineni