Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
[emoji144] [emoji144] angalia nisije kukutafuna tafuna vipande vipande nikamtupia mbwa.oohooooo!!!unijui nini.Toa man u hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji144] [emoji144] angalia nisije kukutafuna tafuna vipande vipande nikamtupia mbwa.oohooooo!!!unijui nini.Toa man u hapo
Umeona Tottenham alichokifanya kwa juve?WAtu ni wepesi sana kusahau EPL pale hamna kitu hasa zikifika hatua kama hii.. Team ya pekee yenye nafasi kubwa ni Man City zilizobaki kutoka EPL nafasi ya kutolewa ni kubwa mnoo.. Porto atamuabisha Liverpool.. Na kwa hii Chelsea ni ngumu mno kumtoa Barca.. Man U naye haeleweki kabisa Seville atampa kibano. Juve licha ya kiwango kutokuwa sawa ila uzoefu utambeba sana dhidi ya Totenham
Msimzaru Tottenham kabisaToa Liverpool, toa Tottenham hapo na Chelsea waweke pemben panawatosha walipofika hahahaha
madrid,spurs,chelsea na liverpool walipofika panatosha
Ulichosema kinaanza kutimiaNi rahisi sana Tottenham kumtoa juventus kuliko man u kumtoa sevilla. Yahifadhi haya maneno yangu
Hahahaha haiko peke yake sema ndo aliyepangwa na kigogoHiv naona kam timu iko chelsea tu peke yake mbona inasemwa sana
Kwakweli naona amejitahidiMsimzaru Tottenham kabisa
Kuongea rahis,Bado naona timu za EPL zikitoboa.
Amefanya nini? Yeye si ndo kachomoaUmeona Tottenham alichokifanya kwa juve?
Mtayakataa haya maneno yenu siku chache zijazo.Bacer ya sasa ni sawa nyuki wa mashineni
Ila kwa ukubwa wa juve ilitakiwa isiwe hivyoAmefanya nini? Yeye si ndo kachomoa
Na hawa ndio watakaoenda robo final;
-Liverpool FC
-Fc Barcelona
-Juventus
-Bayen Munich
-PSG
-Man city
- Man united
-Roma
Mou na timu yake umewatoa kabisa??Tott (anapita)
Man ciry (Anapita)
Liverpool (anapita)
Sevilla(anapita)
Madrid (Anapita)
Roma(anapita)
/barca (anapita)
Bayan (Anapita)
Umeona Liverpool alichokifanya kwa Porto?Umeona Tottenham alichokifanya kwa juve?
Kweli kabisaDah boss una moyo mgumu, moyo wa kishujaa
Naomba na mimi nihifadhi hii post yako kwa ajili ya kuwa kithibitisho huko mbeleni
KabixKipindi kile kuna drogba bhana ,terry na Lampard na mlikuwa basi mnajua kuliweka kisawa sawa hadi Camp Nou hawajapata goli.Chelsea ya saivi inaenda kula nyingi huko UEFA.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]Chelsea wanagongewa nje kabisa asubuhi na mapema. Kwa kiwango chao kibovu watagongwa mpaka refa nae atashangaa.