Champions League quarter-final draw: PSG face Manchester City – as it happened

hebu cheki fixture zao head to head uone
katika fixture 6 za mwisho kati ya barca na atletico barcelona ameshinda zote
sasa hapo odds zina mfavor nani??
Mkuu unakumbuka maneno yangu
 
Natabiri fainali itakuwa Barcelona vs Bayern Munchen
Bila kupepesa macho NUSU FINAL UEFA ITAKUWA HIVI
BARCA vs BAYERN
PSG vs MADRID
Nusu fainali ni
wolsburg vs benfica
Atletico Madrid vs Manchester city
Fainali ni benfica vs atletico, then atletico anachukua ndoo...I wish iwe hivo tofauti na matarajio ya wengi!
Ndoto za mchana

Jaribuni kutabiri mwaka ujao
 
Diego ni wakunilaza mapema mimi kweli....
Ndo kakulaza mapemaaa kilicho nifurahisha uzi huu umekuwa na mnyukano wa tabiri na data za kila namna ingawa na maskhara na kejeli zilikuwepo ila umekuwa uzi mzuri sana.Pole ndugu yangu hali hii humkuta kila mshabiki na mpenzi siku hazifanani yule muargentina supu kaitia nazi.
 
Haya mambo yaliwazoea arsenal...sasa na sisi!
 
Kwa kua nlikua nasema atletico atamtoa barca nkaonekana sijui kitu, eti kwa sababu game kadhaa za hivi karibuni barca alikua anamfunga atletico. Msidhani tuliokua tunasema atletico anapita tulikurupuka, game kama hizi sio za kuangalia juu juu tu. Tatizo wengi wana unazi na wako biased sana, na wanakua wanaangalia upande mmoja tu. Ila kwa mtu yoyote aliekua neutral na anaejua mpira ilikua wazi barca kumtoa atletico ilikua ngumu mno. Aya sasa njooni tuendeleze uzi
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 


Aiseee Vip Leo unajisikiaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…