Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi?
====
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025 ameungana na walimu, wanafunzi na wafanyakazi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Manchali, katika zoezi la kupanda miti 1,200 ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa akifanya jitihada kubwa kuhamasisha upandaji miti ili kutunza na kulinda mazingira.
Pia soma: Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary Schoo washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Je hii ni sahihi kulazimisha kuwa sherehe ya taifa?
Baada ya tukio hilo la kupanda miti, DC Janeth ameongoza zoezi la kukata keki ili kumtakia heri Rais Samia katika siku yake ya kuzaliwa.
Pia soma:
www.jamiiforums.com

Pre GE2025 - Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!
Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais...