Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025.
Ngoja niwaambie,
Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe.
Mwaka 2009 tukiwa na Marcio maximo tulifuzu na kucheza kwa kiwango cha juu sana.
AFCON kama AFCON kwetu ni kiatu kikubwa mno kutuenea kwa sababu kule wachezaji wetu ni wachanga sana kushindana mataifa kama Senegal,
Mara zote tunapopangwa kucheza na timu ngumu kama Morocco kwa mfano, huwa tunaitiwa wachezaji wao wote wa ulaya tena wa daraja la juu, huku wakijua wanakutana na sisi tunaotegemea wachezaji wa ndani.
Lakini hawatudharau kwa kuteua wachezaji wao kwny ligi zao za ndani never.
Ni wakati sasa TFF iache mizaha,
Tuwe serious, tuite wachezaji wetu first choices.
Wachezaji tunawajua wanajulikana ni wale wamekuwa wakitusaidia kutuvusha kwny nyakati ngumu, kwny michezo migumu..
Ndaragije aliwahi kufanya makosa kama haya kwny CHAN 2020 ambayo TFF inayafanya sasa kwa kuteua wachezaji wa kwenda kubahatisha.
Kule Zanzibar tumeenda kujaribu wachezaji na kupoteza mechi zote, juzi hapa tumefungwa tena na Sudan kwa kujaribu tena wachezaji wengine.
Tanzania ikiamua inaweza kabisa kubakiza hili kombe nyumbani, endapo tu; itaweka equal focus kama ilivyofanya kwny kufuzu AFCON na yatakuwa mafanikio ya kwanza makubwa kwa Taifa stars.