Wao bado wanatukumbusha kishindo cha awamu ya 5, kila saa mnaonyeshwa SGR isiyoisha, fly overs n.kAngalia zbc 2 au Rwanda TV wako live kwenye azamtv tbc bado wa namalizia matangazo ya chattle
Tuna vipindi vingi:Hivi sisi tunafeli wapi?
Hata burudani inaonekana kama anasa.
Kenya wao kwanini waoneshe mda huu wapo LIVE KBC channel 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tbc wanaonyesha Jiji la Chato linavyokua kwa kasi.....[emoji41]
Unaonaje uniazime hicho chako! Dharau hazilipi, ulitakiwa kunijibu ili tupate muafaka.Kichwa chako na wewe hakina akili timamu na unaonekana mbinafsi, yaani wewe ukiona mpira wengine unadhani wanaona, kwa wenye Startimes na Dstv kuna ZBC 2?
Mimi nlkuwa nasema kwa ajili ya wenye visimbusi wote ambao television ya Taifa ipo at least nao wanufaike.
Mimi naangalia kupitia KBC1.