CHAN live on KBC1, why not TBC1?

CHAN live on KBC1, why not TBC1?

Angalia zbc 2 au Rwanda TV wako live kwenye azamtv tbc bado wa namalizia matangazo ya chattle
Wao bado wanatukumbusha kishindo cha awamu ya 5, kila saa mnaonyeshwa SGR isiyoisha, fly overs n.k
 
Kichwa chako na wewe hakina akili timamu na unaonekana mbinafsi, yaani wewe ukiona mpira wengine unadhani wanaona, kwa wenye Startimes na Dstv kuna ZBC 2?
Mimi nlkuwa nasema kwa ajili ya wenye visimbusi wote ambao television ya Taifa ipo at least nao wanufaike.
Mimi naangalia kupitia KBC1.
Unaonaje uniazime hicho chako! Dharau hazilipi, ulitakiwa kunijibu ili tupate muafaka.
Nitukane ufurahi zaidi.
 
Unaonaje uniazime hicho chako! Dharau hazilipi, ulitakiwa kunijibu ili tupate muafaka.
Nitukane ufurahi zaidi.
Sorry mkuu..
Sikumaanisha hivyo.
Lengo ni TBC waache kutunyima burudani.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom