Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Astaghafillullah!Haiwezekan kuwa bingwa
Sawa sawa na wewe umuaihid shilole billion elf moja kama utalala naye na kumkuta bikira
Goli la mama ni hela ya madafuVizuri kama goli la mama
Huko ni ushindi wa baba
Mama akitoa 5m kwa kila goli mnaona anachezea hela. Hamieni Kenya kwa sababu nyie huwa mnaona ni sawa kila wanachokifanya wakenyaTaarifa Kamili hii hapa
=================
Rais wa Kenya, William Ruto ameahidi zawadi ya shilingi za Kenya milioni 600 [TZS bilioni 11.79] iwapo Harambee Stars itatwaa ubingwa wa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
Mashindano hayo yanatarajiwa kufunguliwa leo Dar es Salaam ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hiyo.
View attachment 3428904
Toa Maoni yako
Weka akiba ya manenoKenya kushinda ni ndoto, hata prezidaa anajua ndo maana ana confidence kiasi hicho
Kwa Nchi Masikini kama Tanzania hiyo ni hela nyingi mnoMama akitoa 5m kwa kila goli mnaona anachezea hela. Hamieni Kenya kwa sababu nyie huwa mnaona ni sawa kila wanachokifanya wakenya
Kenya hashindi Bora hata taifa starsWeka akiba ya maneno
CAF wanatoa zaidi ya bilioni 9 kwa mshindi. Nadhani alichofanya na kuahidi ni kuitoa hiyo zawadi yote kwa timu na labda kuongeza tu kama bilioni 1.Taarifa Kamili hii hapa
=================
Rais wa Kenya, William Ruto ameahidi zawadi ya shilingi za Kenya milioni 600 [TZS bilioni 11.79] iwapo Harambee Stars itatwaa ubingwa wa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
Mashindano hayo yanatarajiwa kufunguliwa leo Dar es Salaam ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hiyo.
View attachment 3428904
Toa Maoni yako
Wewe huwa unaandika pumba mno. Ni mtu wa kupuuzwa.Kwa Nchi Masikini kama Tanzania hiyo ni hela nyingi mno
Kwani CAF wameahidi Kenya ikishinda Zawadi atapewa Ruto? Kumbuka Kenya hakuna KariaCAF wanatoa zaidi ya bilioni 9 kwa mshindi. Nadhani alichofanya na kuahidi ni kuitoa hiyo zawadi yote kwa timu na labda kuongeza tu kama bilioni 1.
Wacha weeeee!! Mchele anaandika nani?Wewe huwa unaandika pumba mno. Ni mtu wa kupuuzwa.
Daaah hapo umenibana kwenye kona mbaya.Kwani CAF wameahidi Kenya ikishinda Zawadi atapewa Ruto? Kumbuka Kenya hakuna Karia