CHAN: Rais wa Kenya aiahidi Harambee Stars zawadi ya hela Bil 11 ikibeba ndoo

CHAN: Rais wa Kenya aiahidi Harambee Stars zawadi ya hela Bil 11 ikibeba ndoo

Taarifa Kamili hii hapa
=================
Rais wa Kenya, William Ruto ameahidi zawadi ya shilingi za Kenya milioni 600 [TZS bilioni 11.79] iwapo Harambee Stars itatwaa ubingwa wa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

Mashindano hayo yanatarajiwa kufunguliwa leo Dar es Salaam ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hiyo.

View attachment 3428904

Toa Maoni yako
Huku mama akihaidi pesa ya goli mnalaumu
 
Haiwezekan kuwa bingwa

Sawa sawa na wewe umuaihid shilole billion elf moja kama utalala naye na kumkuta bikira
Duh!!! Huu mfano kiboko..

Lakini mkuu anaweza akaifake bikra..🤩🤩🤷🤷🤷🤷
 
Back
Top Bottom