Mkuu
Ulimakafu nakushukuru kwa kutoa na haya maelezo. Ukiangalia hoja zangu halo nyuma watu walikuwa wanaishangaa. Ni bahati mbaya kwamba watu wengi hawaijui hii concept ijapo wengi wanafuatilia UEFA Champion (Match zote za elimination za Home & Away) ambapo katika hatua (kuanzia round 16) hii concept inatumika sana. Mfano ktk CAF Champion league match ya marudiano kati ya Zesco vs Yang's Kyle Zambia iwapo Yanga ingesawazisha na kuwa 2- 2 basis ingesonga mbele kwa 5 - 4 (Naomba nisimkwaze MTU)
Ahsante