CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Hekima bei take in ghali kuliko bei ya dhahabu. Naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
Kama matokeo ya Jana yangekuwa FT ni Sudan 4-5 Tanzania.Kwa hesabu zako Tanzania ingekuwa imepita kwa jumla ya goli 10 kwa 6???
 
Kama matokeo ya Jana yangekuwa FT ni Sudan 4-5 Tanzania.Kwa hesabu zako Tanzania ingekuwa imepita kwa jumla ya goli 10 kwa 6???
Mkuu wangu magoli ya ugenini yanaangaliwa mnapokuwa mpo sawa, mfano kwa matokeo ya Leo INA maana matokeo ni 2-2 bila kuangalia matokeo (magoli) ya home au away. Sasa baada ya matokeo kuwa 2-2 magoli ya ugenini yakahesabiwa Mara mbili. Mfano Timu A imeshinda nyumbani kwa 3-1 halafu ugenini ikashindwa 2-0 timu A itatolewa ktk madhindano kwa 3 (timu A) vs 4 (timu ngeni). Nafurahi kwa matokeo ya jana kwa vile yametoa darasa kwa watu wengi.Unaweza bado kuuliza swali kama lipo (Hii inahitaji Logic & hesabu)
Ahsante
 
Kutokana na kazi nzito ya Nyoni Mnyama ninafuta rasmi shitaka lake hapa Simba
 
Hii dhana ya kudhani kila mtu wa Ruvuma ni Mngoni inawatatiza wengi;Ukiwauliza wenyewe wana Ruvuma watakuambia hakuna Mfungaji hata Mmoja ambae ni Mngoni
 
Mkuu haipo hivi. Away goal is just an advantage na sio kwamba wanacount kwenye matokeo ya uwanjani. Ni sawa na sheria ya kurusha shilingi kuamua mshindi mechi ikiisha sare.
 
Na haliandikwi popote pale..
 
Hii dhana ya kudhani kila mtu wa Ruvuma ni Mngoni inawatatiza wengi;Ukiwauliza wenyewe wana Ruvuma watakuambia hakuna Mfungaji hata Mmoja ambae ni Mngoni
Wangoni na Wanatengo wanawavuruga sana watu since wanashare majina ya koo, kuna Komba Mngoni Komba Mmatengo...
 
Kawaida ya mashabiki wa tanzania hawajui wanachotaka. Wao wanayumba yumba kama upepo wa kisulisuli, inatakiwa tuiunge mkono timu yetu sio dakika mbili tunashangilia mbili tunaponda. Haipendezi kwa kweli
 
Naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
1x2=2+1=3 Sudan
2x2=4+2=6 Tanzania au sisi hatutakiwi kujumlishiwa magoli?
 
Yes ingekuwa Tz 10-6 Su. Baada ya matokeo ya jumla ( home & away) kuwa 5-5.

Mkuu Ulimakafu nakushukuru kwa kutoa na haya maelezo. Ukiangalia hoja zangu halo nyuma watu walikuwa wanaishangaa. Ni bahati mbaya kwamba watu wengi hawaijui hii concept ijapo wengi wanafuatilia UEFA Champion (Match zote za elimination za Home & Away) ambapo katika hatua (kuanzia round 16) hii concept inatumika sana. Mfano ktk CAF Champion league match ya marudiano kati ya Zesco vs Yang's Kyle Zambia iwapo Yanga ingesawazisha na kuwa 2- 2 basis ingesonga mbele kwa 5 - 4 (Naomba nisimkwaze MTU)

Ahsante
 
1x2=2+1=3 Sudan
2x2=4+2=6 Tanzania au sisi hatutakiwi kujumlishiwa magoli?
Mkuu Chillah nashuru kwa swali. Niseme tu kwa urahisi hivi baada ya match mbili (Home & away) kama timu zinakuwa sawa ya magoli ya kufunga & kufungwa magoli yote yaliyofungwa ugenini (away) yanazidishwa Mara mbili.

Ahsante
 
Spot on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…