Heheeeee....
Halooooooooo
utanikuta nishafika
splash we njoo!
Nasikia splash pamefungwa, Je ni kweli..........?
kulikuwa na kitimoto ya kuchoma aiseeee..........!
napakumbuka sana Arusha
dada hujachangamkia tenda???
halafu huyu si ndo yulee wa kipindi kileee??
Tenda wapi ndugu yangu.
Huyo C.T.U kapelekwa kucheza show Arabuni afu analeta mapana ya pazia la Ikulu.
asali wangu usijebabaika nae huyo jamaa namfahamu ni mpiga gitaa wa bendi moja ya taarab na yupo huko kwenye show
<br />CC: <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1098" target="_blank">Ben Saanane</a></b>, <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=48736" target="_blank">Chilli</a></b>, <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=51902" target="_blank">tedo</a></b>............... A,..A,.....A,.........A........Dah!!!!!!!