marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Nina uhakika hata Kaizaer Chiefs wenyewe hawaamini leo kama wamepona!
Simba wana tumia nafasi chache sana kua Goli. hii ni kasumba ambayo haija anza leo wala jana ina msimu zaidi ya miwili klabuni
Ili uwe bingwa lazima ucheze kibingwa, Kaizer wamecheza kibingwa hasa kwenye mechi yao ya nyumbani ambayo walipata nafasi 6 waka tumia nafasi nne wakapata goli nne safi kabisa.
Leo Chriss Mugalu pekeake amekosa nafasi 6 na amepoteza zote zikiwa 4 za wazi,Boko pamoja na kufunga goki 2 ila kakosa nafasi 2 za wazi kabisa wakati Chama pia amepoteza nafasi 2 za wazi,
Shoot ontarget 10 ,lakini goli 3 kazier walipiga shoot on target 5 wakafunga goli 4 hapa ndio kuna utofauti wa mkongwe kazini na timu inayo jifunza na hapa ndio Simba walipo tolewa.
So far Benard Morrison ndio mchezaji wa matokeo zaidi kweye kikosi cha Simba! Anafosi ana drible yuko shap sana na ana maamuzi ya haraka kama mimi ningekua ndio Deo Rosa majukumu aliyo nayo chama ningempa Benard awakere!
Simba wakitaka ku unlock hii ROBO FINAL OUT wanatakiwa wajua kua Champions League hakuna Mwadui wala coastal union ambao kwenye mechi moja unakosa nafasi 10 na bado unapata goli 5 au zaidi!
Sitegemei kumuona Mugalu msimu ujao....