beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS
Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto Msimbazi kuwa eneo la Uwekezaji na fursa mbalimbali ambapo usanifu wa mradi umekamilika
Akiwa Bungeni Dodoma, amesema Utekelezaji wake utaanza baada ya kupata idhini ya Serikali kuhusu matumizi ya Fedha za mkopo kupitia Wizara ya Fedha na Mipango