Dah aliyepata ile tender naona kapaki mitambo kabisa, kajenga na kibanda kabisa pale anasikilizia tu Mama Kijazi aseme Neno apeleke invoice. Sijajua ile mitambo itakaa pale hadi lini, aagh basi kufa kufaaana na hii mvua ya Leo, jamaa ameshaanza kunywa kahawa