Chande sasa unaweza ukajifia maana huna la maana duniani. You are a spent force!

Chande sasa unaweza ukajifia maana huna la maana duniani. You are a spent force!

Wachawi wanaroho kama yako.
 
Kupitia hii report ndo unagundua nchi yetu ina watu wajinga wengi sana .


Kuwa nimekupa kazi with all facilities ili uje uwe against me na utoe taarifa za kunididimiza


Yaani shortly watu walitegemea ripoti tofauti na hii
Kama walitegemea kupata Taarifa tofauti na hii basi nawapa pole sana

Jaji asingeweza kwenda tofauti na boss aliyempa KAZI

Watanzania watafute njia nyingine hii tayari ishakua ngumu
 
Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni.
Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela nyingi bank! na mtumwa wa mtawala Muuaji.
Kwani wewe nyumbu ukitaka upewe kazi ya Chande au? Hata Sasa unaweza kuongea publicly kile unachokijua na una uhakika nacho.
 
Ulitaka watu waendelee kuamini kuwa walikufa watu 10,000?

Ulitaka tuendelee kuamini kuwa no reform no election ilikuwa kauli ya amani? Samia must go na tunakinukisha ulitaka tume iseme hazikuwa kauli mbaya?

Hili ni swala la hatua kwa hatua, acha tume ya kijinai iundwe, halafu uone kinachofuata..mtaeleza vizuri, si mlijifanya kwenda kutafuta tume ya uchaguzi mwendo kasi.. Mkaenda kutafuta katiba kwa shilole?

Kila kitu ni hatua we subiri!
 
Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni.
Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela nyingi bank! na mtumwa wa mtawala Muuaji.
Indeed, and so be it
 
Back
Top Bottom