Chanel ten hawana weledi kiutangazaji,eti wanasema AU waionya Russia

Chanel ten hawana weledi kiutangazaji,eti wanasema AU waionya Russia

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Nimeshikwa na butwaa kusikia mwandishi wa habari za saa 1 jion leo anatangaza kwamba AU waionya Russia kuhusu Vita ya Ukraine, hivi Afrika wanawezaje kumuonya Russia ,Hawa watangazaji lazima makanjanja.
 
Kwa namna Sall alivyokuwa anaongea na Putin, sidhani kama alimuonya.Wasitoe habari kwa kadiri ya wanavyohisi.Waenende katika kweli.Au bado wana "homa" ya Magufuli?
 
Back
Top Bottom