Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;

1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media – 604,989,177
7. Azam TV – 461,735,295
8. Young Tubers – 402,403,620
9. Mbosso – 412,568,635
10. Li Dancer Chris – 297,691,717
11. Zuchu – 275,493,429
12. Alikiba – 194,106,472
13. Steve Mweusi – 181,118,994
14. Lava Lava – 179,449,218
15. Aslay – 166,629,576

Naona mkongwe Ali Kiba anakimbizwa na vitoto vya juzi kwenye game la Bongo Fleva.
 
Kwahiyo Ally Kiba kapitwa na Konde au?
 
Kwa hiyo huko youtube kuna mashindano kumbe? Na sikumbuki kama nilisikia Kiba anataka mashindano ya kutazamwa huko mjini YOUTUBE
 
Kuna mawehu wanataka kuidodesha na kuidharaulisha jf, sasa idadi hiyo ya views kwa muda gani n.k., badala ya kuliangalia hilo thread imegeuka, na ndivyo inavyoonekana, imekuja kumchamba alikiba. Ajabu ni kuwa wachambaji hata kwenye koo zao tu zilizo na members 12 hawajulikani. Cha kuchekesha ni kuwa wanakuja kumponda mtu anatazamwa tz nzima
 
Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;

1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media – 604,989,177
7. Azam TV – 461,735,295
8. Young Tubers – 402,403,620
9. Mbosso – 412,568,635
10. Li Dancer Chris – 297,691,717
11. Zuchu – 275,493,429
12. Alikiba – 194,106,472
13. Steve Mweusi – 181,118,994
14. Lava Lava – 179,449,218
15. Aslay – 166,629,576

Naona mkongwe Ali Kiba anakimbizwa na vitoto vya juzi kwenye game la Bongo Fleva.
Happy Kuna wasanii wanategemea sana organic traffic.

Diamond na wasanii wake wanapenda sana ku-boost video zao zrnye views chache.
 
Not taking sides...bt more views means more money you make on that platform.
 
Happy Kuna wasanii wanategemea sana organic traffic.

Diamond na wasanii wake wanapenda sana ku-boost video zao zrnye views chache.
Huu mwimbo tusha uzoea yaani Diamond aboost miaka yote halafu Youtube wakae kimya wakati biashara yao ni matangazo wanayo yaweka kwenye hizo video.

Kuhack unaweza kuhack lkn ndani ya kipindi kifupi tena hata wiki hakizidi watakujua. Nao wana marobot wa kuaudit hizo na kufuatilia views bado ma-AI (Artificial Intelligence) technology.
 
Hongera kwao na hadi mwisho wa mwaka huu namwona mwanadada fulani apo akipanda top 4
 
Duh kumbe mwanamke yupo peke ake, afu hd lavalava yupo sijui mimi nakwama wapi
 
Huu mwimbo tusha uzoea yaani Diamond aboost miaka yote halafu Youtube wakae kimya wakati biashara yao ni matangazo wanayo yaweka kwenye hizo video.

Kuhack unaweza kuhack lkn ndani ya kipindi kifupi tena hata wiki hakizidi watakujua. Nao wana marobot wa kuaudit hizo na kufuatilia views bado ma-AI (Artificial Intelligence) technology.
Kwan youtube wanakataza kuboost?
 
Mlaumu baba yako kwa kukunyima akili.

Utakuwa msukule wa watu mpaka unakufa
 
Aise ndomana maisha yamekuwa mepesi kwa raia kutokana na hao wasanii kukimbiza huko utube

Ova
 
Yuchubu watu wanatengeneza hela kinoma channel za udaku Zina views had 1M+ kwa vdeo 1 dah wa Tz wanapenda kufatilia maisha ya watu balaa wengne wanatumia fursa kupiga pesa hapohapo
 
Mlaumu baba yako kwa kukunyima akili.

Utakuwa msukule wa watu mpaka unakufa
Wewe ndiye huna akili hata ABC ya hiyo mifumo inavyofanya kazi hujui,kama hujui AI kadri siku zinavyoenda ndivyo zinazidi kuwa Smart.
 
Back
Top Bottom