Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

Nitafungua yangu. Tatizo gharama za camera na microphone ndio sijui shingapi.
 
NDIO NI KWELI ALIKIBA HAKUFANYA VIZURI UPANDE WA YOUTUBE 2021 NA HII NI KWASABABU ALIPOTAMBULISHA LABEL YAKE KUANZIA 2020 UKO ALIKUA ANATUMIA ACCOUNT YA LABEL(Kingsmusic) KUWEKA KAZI ZAKE UKO YAANI KIFUPI ALIIWEKA PENDING ACC YAKE MAFKIRI LENGO LAKE KUBWA LILIKUA NI KUPAISHA LABEL NA ACC YA LABEL NAFIKIRI KWA MWAKA HUU 2021 ATAFANYA VIZURI SANA YOUTUBE
 
Ushahidi kutoka YouTube?

Hamna system ambayo huwezi kuhack kila system unaweza ukahack ila huwezi kuwadanganya kila siku, hizi system zina tools za kuzi monitor,kuna watu wa security auditing, kuna marobot wa kufuatilia na bado kuna AI. So vyovyote ufanyavyo ndani ya wiki watakujua tu.
 
Ushahidi kutoka YouTube?

Hamna system ambayo huwezi kuhack kila system unaweza ukahack ila huwezi kuwadanganya kila siku, hizi system zina tools za kuzi monitor,kuna watu wa security auditing, kuna marobot wa kufuatilia na bado kuna AI. So vyovyote ufanyavyo ndani ya wiki watakujua tu.
Punguza pombe Kali na UGORO kijana. Ashhole
 
Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;

1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media – 604,989,177
7. Azam TV – 461,735,295
8. Young Tubers – 402,403,620
9. Mbosso – 412,568,635
10. Li Dancer Chris – 297,691,717
11. Zuchu – 275,493,429
12. Alikiba – 194,106,472
13. Steve Mweusi – 181,118,994
14. Lava Lava – 179,449,218
15. Aslay – 166,629,576


Naona mkongwe Ali Kiba anakimbizwa na vitoto vya juzi kwenye game la Bongo Fleva.
Ali hapendi show off
Hata ile TV yake ipo Ila hapendi mambo ya kiki
 
Kuna mawehu wanataka kuidodesha na kuidharaulisha jf, sasa idadi hiyo ya views kwa muda gani n.k., badala ya kuliangalia hilo thread imegeuka, na ndivyo inavyoonekana, imekuja kumchamba alikiba. Ajabu ni kuwa wachambaji hata kwenye koo zao tu zilizo na members 12 hawajulikani. Cha kuchekesha ni kuwa wanakuja kumponda mtu anatazamwa tz nzima
Wananionea wivu Ally ambae hataki kiki kabisa
 
Kuna vitu vyengine hata hushangai kwani naweza nikasema huu ni mwaka wanne mfululizo Chibu anakimbiza yy YouTube.
 
Back
Top Bottom