Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hadi Zuchu kampita pakubwa.Kwahyo ally kiba kapitwa na konde au?
Kwa hiyo huko youtube kuna mashindano kumbe? Na sikumbuki kama nilisikia Kiba anataka mashindano ya kutazamwa huko mjini YOUTUBEOrodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;
1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media – 604,989,177
7. Azam TV – 461,735,295
8. Young Tubers – 402,403,620
9. Mbosso – 412,568,635
10. Li Dancer Chris – 297,691,717
11. Zuchu – 275,493,429
12. Alikiba – 194,106,472
13. Steve Mweusi – 181,118,994
14. Lava Lava – 179,449,218
15. Aslay – 166,629,576
Naona mkongwe Ali Kiba anakimbizwa na vitoto vya juzi kwenye game la Bongo Fleva.
Hataki shobo...kwanza anazo channel kama 200 🤣Kwa hiyo huko youtube kuna mashindano kumbe? Na sikumbuki kama nilisikia Kiba anataka mashindano ya kutazamwa huko mjini YOUTUBE
Happy Kuna wasanii wanategemea sana organic traffic.Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika;
1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709
2. Millard Ayo – 1,418,005,282
3. Global TV Online – 1,122,433,417
4. Rayvanny – 694,793,379
5. Harmonize – 683,915,867
6. Wasafi Media – 604,989,177
7. Azam TV – 461,735,295
8. Young Tubers – 402,403,620
9. Mbosso – 412,568,635
10. Li Dancer Chris – 297,691,717
11. Zuchu – 275,493,429
12. Alikiba – 194,106,472
13. Steve Mweusi – 181,118,994
14. Lava Lava – 179,449,218
15. Aslay – 166,629,576
Naona mkongwe Ali Kiba anakimbizwa na vitoto vya juzi kwenye game la Bongo Fleva.
Huu mwimbo tusha uzoea yaani Diamond aboost miaka yote halafu Youtube wakae kimya wakati biashara yao ni matangazo wanayo yaweka kwenye hizo video.Happy Kuna wasanii wanategemea sana organic traffic.
Diamond na wasanii wake wanapenda sana ku-boost video zao zrnye views chache.
Kwan youtube wanakataza kuboost?Huu mwimbo tusha uzoea yaani Diamond aboost miaka yote halafu Youtube wakae kimya wakati biashara yao ni matangazo wanayo yaweka kwenye hizo video.
Kuhack unaweza kuhack lkn ndani ya kipindi kifupi tena hata wiki hakizidi watakujua. Nao wana marobot wa kuaudit hizo na kufuatilia views bado ma-AI (Artificial Intelligence) technology.
Mlaumu baba yako kwa kukunyima akili.Huu mwimbo tusha uzoea yaani Diamond aboost miaka yote halafu Youtube wakae kimya wakati biashara yao ni matangazo wanayo yaweka kwenye hizo video.
Kuhack unaweza kuhack lkn ndani ya kipindi kifupi tena hata wiki hakizidi watakujua. Nao wana marobot wa kuaudit hizo na kufuatilia views bado ma-AI (Artificial Intelligence) technology.
Wewe ndiye huna akili hata ABC ya hiyo mifumo inavyofanya kazi hujui,kama hujui AI kadri siku zinavyoenda ndivyo zinazidi kuwa Smart.Mlaumu baba yako kwa kukunyima akili.
Utakuwa msukule wa watu mpaka unakufa
Kwa biashara yao ni haram sababu youtube wanalipwa na makampuni binafsi kwa ajili ya kuweka matangazo kwenye hzoo video.Kwan youtube wanakataza kuboost?
Wewe ndiye huna akili hata ABC ya hiyo mifumo inavyofanya kazi hujui,kama hujui AI kadri siku zinavyoenda ndivyo zinazidi kuwa Smart.
Ukumbuke boosting na bots ni tofauti lakiniKwa biashara yao ni haram sababu youtube wanalipwa na makampuni binafsi kwa ajili ya kuweka matangazo kwenye hzoo video.