Changamkia fursa(opportunity) hii

Changamkia fursa(opportunity) hii

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Kwa wale wauzaji wa reja reja wa memory cards na usb flash disk,pata mzigo wa memory card kwa bei ya jumla,2GB memory card sh 6700/= kwa memory card 1,kiwango cha chini ni memory card 5.
Hata we unaelalamika kukosa kazi,chukua mzigo kwa sh 33500/= tu sawa na memory card 5,katembeze kwa watumiaji wa mwisho kama waingiza nyimbo kwenye simu,madreva bodaboda n.k uza kwa bei ya reja reja upate faida kwa kazi halali.
Wahitaji wote,weka order yako mapema.
piga au tuma sms namba 0714281313,kuweka order,hata kama upo nje ya DAR,tutashauliana jinsi ya kufanya hadi mzigo ukufikie ulipo.
Ahsanteni.
 
Naomba uniambie speed ya hizo memory card
Mf,20/min au 40/min.maana memory Card kama inaspeed ndogo inachelewa kudownlod chochote , inachukua muda mrefu san..na speed ndogo kabisa ni 20/min na speed nzuri kuanzia 40/min
 
mkuu,hii ni microSd memory card,unayozungumzia ni microSDHC au MicroSDXC.,speed hiyo itajali sana kama unatumia camera za kuchukua video,kwa 2GB memorycard ambazo ndo watanzania wengi tunatumia writting speed ni 6mb/s na reading speed ni 16mb/s speed ambayo inatosha sana kwa matumizi yetu.

Ila kama utahitaji za speed hiyo pia nijulishe nikupatie kwa order maalumu.
 
Back
Top Bottom