Changamkia fursa ya helping hands international H2i

Karibu sana ndugu kwenye fursa yetu ya biashara ya mtandaoni ya helping hands international h2i utajifunza namna ya kuifanya na faida zake na kwa anayehitaji kujiunga asisite kuwasiliana nami kupitia namba yangu +255768566119
 
✍ you're capable of more than you know, chose a goal that seems right for you and strive to be the best. At the path way of success aim high,behave honorable, prepare to activate the will of finishing strong.

✍ Be optimistic in your faith, bcos nothing can be done with hope and confidence without action.. Get involved,your success is approximate.

✍ enjoy your time
 
WHEN LIFE SQUEEZES YOU :
(LESSON FROM AN ORANGE)

many years Ago Dr. Wayne Dyer took an orange on stage during a lecture and asked this question
"If I were to squeeze this orange as hard as I could, what would come out?"
Some voices from the crowd shouted "juice of course"
"Do you think apple juice could come out of it?"
"No" the Crowd Replied
"What about grapefruit juice?"
"No.. Orange juice " was their answer again

He asked "WHEN YOU SQUEEZE AN ORANGE WHY DOES ORANGE JUICE COME OUT? "
The crowd was confused with that question and mumbled a few answers but Dr. Dyer raised the Orange and made this statement
"Orange juice comes out because it's an Orange and THAT'S WHAT'S INSIDE"
He continued "Let's assume that this orange isn't an orange but it's you and life, or the economy squeezes you, puts pressure on you, and challenges you and out of you comes FEAR, DEPRESSION, STRESS AND THE URGE TO QUIT.
"Why?" Because that's what INSIDE..
But we are like oranges and should exude Sweetness and Success..
What do you have inside of you?
Even in the face of Economic Inflation and Economic Downturn.. Are You Waiting for things to Change or Are you trying to Make things Change ?
Tough Times Don't Last, Tough People Do - Robert Schuller
Necessity is the mother of Invention...
it's Ok to Fall.. AS LONG AS GET BACK UP On YOUR FEET
Now is the BEST TIME TO GET ON YOUR FEET AND SAVE, INVEST, BUILD your ASSETS AND SKILLS !!!

I NEED 50 PEOPLE TO JOIN ME ON THE RIDE AGAINST THE WAVES OF ECONOMIC DOWNTURN TO FINANCIAL FREEDOM

CONTACT ME +255768566119 Or DROP YOUR NUMBER
 
Kindly read this and ask questions.

Helping hands international is an NGO( NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION) whose major aim is charity work, they take care of the less privileged ones, widows, orphans, poor etc. It was founded by Mrs MARC-ELVIS LUZVIMINDA, a Philippino that lives in Japan.She founded H2i to carry out the above listed charity works, reduce poverty, train people freely on different skills, and also a life time investment for members. H2i was founded 9 years ago, but h2i came to Nigeria 2013 up to the moment h2i is touching lives of so many people and spread to other countries including Tanzania.

In H2i No selling, No buying, No membership renewal, No authorship.
Just a one time donation/registration fee made by you according to the number of accounts you wish to Start up with.

H2i partners are HP, APPLE, GAC MOTORS, HYUNDAI MOTORS.


HOW DO I BECOME A MEMBER / YOUR DUTY:

1: Contact the person that introduced H2i to you and make payment of $40 then he/she will process your account and send the account information to you when it's ready (within 4days at most).

(H2i is a team work)

2: tshs 90000/=or $40 is for 1 account..

3: After your registration, you are only required to introduce at least two people (can be more if you wish) to register under you, and this two people will introduce two persons each to register under them as well! If you have 6 people under you, they move you to stage 2.

5: For every person you register under you directly, you are paid a referral bonus of $8 into your ewallet immediately.

STAGES AND BENEFITS IN H2I

Stage1- $26-$48
+$10 bonus

Stage2
Level 1-NIL
Level 2-$100
Level 3-$200
Level 4-$300
Level 5-$400
Total matrix bonus $1000
+an ipad/laptop

Stage 3
Level 1-$200
Level 2-$300
Level 3-$500+Dubai trip, all expense paid.
Level 4-$500
Level 5-$1500
Total matrix bonus $3000 + a brand new car(Hyundai)

Stage 4
Level 1-$300
Level 2-$300
Level 3-$500
Level 4-$900
Level 5-$4000
Total=$6,000+Executive Hyundai Jeep,
Empowerment for 1 motherless home,
Interest free loan $12000 , on request
5%matching bonus to uplink $300

Stage 5
Level 1-$2000
Level 2-$10000

To join H2i just Whatsapp or call me on +255768566119
www.helpinghandsinternational.biz
 
Babu wa Samunge kiboko wa wote. Yule jamaa anatakiwa apewe tuzo ya kuwakamata watu wengi. Tena wa mataifa mbalimbali
[emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji9] [emoji1] wanyakyusa noma
 
Watajirishe kwanza ndugu zako wote then marafiki zako then majirani ndio uje na huku JF
 
Kwa mawasiliano 0678260389/0769635970
********
Ewe Mtanzania mwenzangu. hii zaidi ya Habari kwako Mtanzania ambae umekuwa ukijiuliza ni kampuni lipi sahihi unaweza kufanya nalo kazi au ni njia ipi utumie katika harakati za kubadili hali ya maisha na uchumi kwa Ujumla. Tafadhali ambatana nami katika Maelezo haya kukujuza zaidi juu ya Shirika letu la helping hands international.

HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2I) NI NINI?

Hili ni shirika ambalo si la kiserikali ambalo limeanzishwa na Mwanamke mmoja aitwaye Mrs Mac Elvis kutokea ufilipino, na lengo lake hasa ni kusaidia makundi ya wahitaji kama yatima, vilema, wajane wazee n.k pamoja na kuinunua maisha ya MTU mmojammoja kwa mfumo wa kununua hisa.

WADHAMINI ( SUPPOTERS)
1.Hyundai motors
2.Hp computers
3.apple electronics company
4.Gac motors
5.Diamond trust Bank(DTB)
6.iglo phone company
7.Gates foundation( billigates)

Shirika hili naweza kusema ni Fursa kubwa kwa Watanzania wa makundi yote kutokana na faida zifuatazo.

1. Kutoa huduma kwa wahitaji
2. Kutengeneza kipato endelevu
3. Kupata vitu toka makampuni haya kama vile HP computer,Gari aina ya Hyundai au Cag motor,Apple IPad,simu, Nyumba n.k
4. Mikopo isiyo na riba
5.Elimu ya Ujasiriamali bure
6.safari za kimataifa kama dubai na Mauritius

Hizo ni faida zinazopatika helping hands international
Na wameweka mgawanyo wake katika hatua tano ambazo ni

1.ASSOCIATE
2.MASTER
3.SUPER MASTER
4.MINISTER
5.PRIME MINISTER na kila stage INA nufaiko lake kama ifuatavyo

1.ASSOCIATE
Hapa utalipwa au kunufaika na kiasi cha $58= 127600/=

2.MASTER
Hapa utanufaika kwa kiasi cha
$1000 sawa na 2200000/=
Katika hatua hii utapata zawadi nyingine nje ya pesa kutoka kwa wadhamini kama

a.HP laptop mpya kutoka HP ambayo ni tayari ipo connected na internate

b.IPad aina ya Apple
c.simu kutoka glo company

3.SUPER MASTER
Hapa utanufaika na kiasi cha
$3000 = zaidi ya 600000/=

Cha msingi katika hii hatua shirika hili linataka uweze kupata watu wawili katika jamii yako ambayo ni wahitaji na utapewa kiasi cha $2000( 4mil) kwa ajili ya wahitaji moja kwa moja

Zawadi za hatua hii.
Gari jipaya aina ya Hyundai elantria yenye thamani ya $10000 sawa 21milion za kitanzania

Safari moja ya kwenda dubai utakayolipiwa mpaka kula

Utapata Elimu ya Ujasiriamali bure kutoka kwa waalimu kutoka helping hands international

4.MINISTER
Hatua ya nne utapata kiasi cha $6000 sawa na 12 million za kitanzania

Utaendelea kugusa maisha ya wengine kwa hyo hatua hii shirika linataka upate familia moja isojiweza na watasaidiwa

Zawadi zake
a.gari jipya aina ya Gac ixjeep35 yenye thamani ya milioni 54 za kitanzania

b.una nafasi ya kuomba mkopo usio na riba toka kwa shirika kuanzia million 24

c.utapata fedha kwa ajili ya masuala ya kielimu dunia na dini kiasi cha milioni 4 za kitanzania

5. PRIME MINISTER
hapa utanufaika kwa kiasi cha $12000 zaidi ya million 24
Utanufaishwa na fedha kwaajili ya makazi bora
Utaanza kupata gawio la faida kiasi cha milioni 10 kila mwaka
Safari moja ya kwenda Mauritius
Kuanzisha project kubwa katika mazngra yako n.k

Kwa taarifa zaidi
www.helpinghandsinternational.biz

Mawasiliano
0769635970
0678260389


 
Kwa kutapeliwa Mara 4 na mashirika ya namna hii. Na mengine yako mtandaoni, sidhan. Na yanakuja na kila aina ya jina kwa cause tofauti kma ntabadilisha mawazo. Pesa halali ni ile unayoitafuta mwenyew 100% kwa jasho lako
 
Ukiona shirika au kampuni wanakutaka utoe pesa ili ujiunge tena membership imepangwa katika madaraja kulingana na kiasi cha pesa ulichotoa please kaa mbali. Hiyo ni pyramid scheme na ndiyo mfumo bainishi wa akina GNLD, TREVO, FOREVER Living, ORIFLAME na wengineo. Ukweli ni kwamba wale wachache waongeaji sana wenye charisma na ushawishi ndiyo hufanikiwa kupanda juu ya pyramid na kujipatia pesa wakati wengi hubakia huku chini wakiwa hawana cho chote. Tena itakubidi uwe ruthless hata uwe tayari kukosana na ndugu na jamaa (wakiwemo wakwe na co workers) ili mradi uwaingize pesa zako ulizotoa kama kiingilio ziweze kurudi.Watakuja kwa njia nyingi na sura mbalimbali lakini mtawatambua kwa matunda yao na basic model yao ya biashara ni ile ile: Typical pyramid scheme!

Na unapoambiwa eti utapewa gari, jiulize ni nani mwenye uwezo wa kugawa magari bure au kirahisi rahisi tu hapa duniani? Na kitu kama kinaonekana kuwa kizuri kupita kiasi basi ukweli ni kwamba uhalisia wake ni kinyume chake.

Helping Hands International my foot. May be Pyramid Scheme International au SCAM International [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mleta tangazo mwenyewe si ajabu ukimwona mpaka soli za viatu zimeisha kwa kutembea huku na huko kutafuta watu wa ku-join nyuma yake lakini yuko hapa anadanganya watu eti kuna magari ya bure. Fanyeni kazi. There's no free lunch hapa duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…