Changamkia fursa ya helping hands international H2i

Changamkia fursa ya helping hands international H2i

FB_IMG_1483364511882.jpg
 
Kwa kifupi kabisa Helping hands international (H2i) ni asasi isiyo ya kiserikali (NGO) ya kimataifa inayojihusisha na kusaidia watu wanyonge na wahitaji wengine.(Yatima,wajane, walemavu,waathirika wa madawa ya kulevya,machangudoa,nk)

Mbeba maono wa H2i ni mama Luzviminda Mac Elvis, kutoka Ufilipino ambaye naye baada ya kupitia maisha magumu sana mwanzoni kutokana na kuzaliwa katika familia duni sana kiasi cha kujikuta anasomeshwa na mtu ambaye hata hakumfahamu kabisa,jambo lililomfanya aamini kuwa licha ya matatizo anayoweza kukutana nayo binadamu yeyote akipata mkono wa msaada anaweza kutimiza ndoto zake. Imani hii ilimfanya atafakari sana juu ya watu wenye matatizo kama aliyoyapitia yeye na ikampelekea sasa kuanzisha Mpango wa kuwasaidia baada ya yeye kuwa amefanikiwa kutokana na kusaidiwa. Akiwa amehitimu masomo yake na kuajiriwa huku akikeleketwa na maono yake ya muda mrefu aliamua kurejea kwao Ufilipino na kuasisi asasi aliyoiita HELPING HANDS.

Pamoja na mambo mengine asasi hii ilijihusisha na kuwasaidia watoto wa mitaani kurejea shule,watoto yatima kuwasomesha, kuwasaidia waathirika wa madawa na machangudoa kurejea hali zao za awali na kuwasaidia kuanzisha miradi itakayowafanya wajitegemee na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Kufanikisha yote haya alikuwa anafadhiriwa na kampuni ya Magari ya Hyundai.

Akiwa anaendelea na kazi zake alikutana na daktari Ramiel Policarpio,ambaye alikuwa ni daktari bingwa wa meno huko nchini Ufilipino. Naye alikuwa na maono yanayokaribiana sana na ya mama Luzviminda. Dr Ramiel alikuwa inajihusisha na kusaidia wajane,wazee na wasiojiweza katika nchi hiyo. Walipokutana wakabaini kuwa maono yao yanafanana na kwamba kwa pamoja wanaguswa na makundi yenye mahitaji maalumu. Waliamua kuunganisha nguvu na kueneza huduma zao nje ya Ufilipino. Kwa hapa na jina la asasi hii likabadilika na kuwa _Helping Hands International_ badala ya *Helping Hands* kama ilivyo kuwa awali. Wakaanza kuenea barani Asia kwa kasi sana kutokana na mguso wa huduma zao kwa jamii. Jambo hili liliwafanya wapatwe na changamoto za kifedha ili kuwasaidia watu wengi waliojitokeza kutokana na udhamini wa awali kuzidiwa kabisa.

Waliamua kutafuta suluhu kwa changamoto hii na waliamua kubuni vyanzo vya mapato ili kuinua na kuendeleza huduma hizi.

Kwanza waliomba udhamini kutoka kampuni kadhaa kubwa duniani, na kutokana na ubayana wa maono yao walipata udhamini kutoka kampuni za Apple,HP,Hyundai, Diamond Bank,GAC Motors, Glo nk(hadi Leo). Asasi pia hupata misaada kutoka kwa watu maarufu wanaotaka kusaidia watu(philanthropist) na asasi mbalimbali kama vile Bill Gates Foundation.

Pili ,waliamua kubuni chanzo kingine cha kipato kutokana na michango ya wanachama ambao nao kwa hiari yao na kuguswa na matatizo ya wanyonge na kuamua kuwa sehemu ya utilikaji wa maono haya watakaojiunga na H2i. Hapa wakaweka mchango unaofanana kwa wanachama wote dunia nzima USD 40 kwa kila mwanachama. Mchango huu unatolewa Mara moja tu kwa maisha yote ya mwanachama.

Ili kuhakikisha wanasambaa zaidi duniani na kuwafikia watu wengi zaidi walibuni mfumo wa biashara unaoweza kufanywa na wanachama wenyewe ili kuwawezesha kujiimarisha kiuchumi kuenea zaidi. Ikaingizwa dhana ya biashara ya Mtandao ya kuwafikia wanachama wapya.

Iko hivi mwanachama anapoelewa maono haya na akaona anaweza kuwa sehemu ya ukamilikaji wake atajiunga na H2i na atasajiriwa kama mwanachama na balozi wa kudumu ( maisha yake yote)na baada ya kusajiriwa naye atawashirikisha wengtano habari hizi ili nao wajiunge chini yake. Mtu mmoja ukimuunganisha utalipwa dola 8(16000) na kwa kawaida unapaswa angalau uingize watu wawili ambao nao watafanya hivyo kila mmoja. Hauzuiwi kuingiza idadi yoyote ya watu uliyonayo hata kama ni watu 100! japo kiwango cha chini sana ni watu wawili.

Kukawekwa ngazi zitakazotumika kupima utendaji kazi wa mwanachama. Kuna ngazi tano(tutaziangalia baadaye)
ambazo zilipewa vigezo na zawadi zake mbalimbali.

Mfumo huu wa biashara ukaonekana ni bora sana na rahisi kufanya. Asasi hii ilianza kuenea kwa kasi katika mabara mengine nje na Asia na mnamo mwaka 2013 H2i iliingia Afrika kupitia daktari mmoja aitwaye Timothy Odeghe (Nigeria) ambaye alikutana na Dr. Ramiel ( mmoja wa waanzilishi) na Dr Timothy alipowashirikisha juu ya hali duni walizonazo watu wake,waanzilishi walimshirikisha katika maono hayo na akapendezwa nayo na kujiunga. Alipolifikisha wazo hilo lilipokelewa kwa haraka sana na kukua kwa kasi nchini na nje ya nchi pia. Watu wengi wamewezeshwa kufikia ndoto zao na wanaendele .

Kwa sasa Helping hands international inaenea kwa kasi sana na tayari ipo Benin,Ethiopia, Uganda,Kenya,Afrika Kusini,Ghana,Zambia,Msumbiji,Zimbabwe na hatimaye Tanzania. Hapa kwetu Tanzania uzinduzi kitaifa umefanyika mwezi wa saba Mwaka huu japo watu walianza kufanya kazi kabla ya uzinduzi. Tayari Helping hands international inafanya kazi kihalari hapa nchini na imeshasajiriwa na Brela kwa usajiri nambari 128802 na ofisi kwa sasa zipo Dar es salaam (Sinza Afrika Sana),na Riverside, Ubungo na Mwanza ( Kenyatta karibu na benki ya posta) na tunaelekeza nguvu mikoani sasa.
Ukihitaji kujiunga au Maelezo zaidi usisite kutumia Whatsapp au piga kupitia +255768566119
Mkuu naomba mm unisaidie nina mayatima wangu wamefiwa na babaa yao muda mrefu. A. Maisha ni MAGUMU sana kwao ,watoto bado ni wadogo,hawana shuhul tyre,kama hutojali utanisidiaje kupitia helping hands international hapo? nasubiri jibu na michango
 
Mkuu naomba mm unisaidie nina mayatima wangu wamefiwa na babaa yao muda mrefu. A. Maisha ni MAGUMU sana kwao ,watoto bado ni wadogo,hawana shuhul tyre,kama hutojali utanisidiaje kupitia helping hands international hapo? nasubiri jibu na michango
Nakushukuru sana na hongera kama unawatunza kweli. Kuhusu h2i pitia makala vizuri na utaona nini unatakiwa kufanya. Ahsante
 
Usikose seminar kubwa kuwahi kutokea Tanzania ya kufungua milango ya fursa ya helping hands international h2i....itayoendeshwa na FBI Coach wa H2i Mh. CHARLES EZEH Aliyetunukiwa Tuzo ya kimataifa juu ya H2i AFRICA atakwepo LIVE tarehe 07/01/2017 siku ya jumamosi; Dar es salaam City Garden Gerezani.
Njoo wewe ndugu na jamaa yako ufungue milango ya fursa ndani ya shirika lisilo la kiserikali la H2i ubadilishe maisha yako na ya ndugu yako. Kwa maana unapogundua kuwa umechelewa ndipo unatakiwa kuchukua hatua....... [emoji574][emoji574][emoji574][emoji574][emoji574][emoji574]
Ewe Mtanzania tembea pamoja na muuza marashi unukie... Tembea na waliofanikiwa ufanikiwe.
2017 NI WAFURSA YA H2I USISUBIRI
KARIBUNI SANA NA MUNGU AKUBARIKI
+255768566119
www.helpinghandsinternational.biz
 
At least forever wanaeleweka japo products zao ni ghari.Ila biashara yao inaeleweka.Sasa hii haieleweki kabisa naona MTU wa mwisho ataliwa tu.Forever unaliwa lkn bidhaa unaweza jifuta machozi kwa kuzitumia mwenyewe ila hawa mmmmmh
 
EMPOWERMENT BUSINESS OPPORTUNITY WITH HELPING HANDS (H2I) IN AFRICA
[emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607][emoji607]
H2i (HELPING HANDS INTERNATIONAL) is an NGO committed to put smiles onto the faces of the less privilege.

- No buying
- No selling
- 100% risk free

It requires a one time donation fee of $40 (tshs 90,000/=)

HOW DOES IT WORK

It is a referral program.
It rewards in stages.

*Stage1 ==== Associate*
*Stage2 ==== Master*
*Stage3 ==== Super Master*
*Stage4 ==== Minister*
*Stage5 ==== Prime Minister*

There are 5 stages to earn income.
You need to refer 2 people and the 2 people bring in their 2 people, then you are paid commission instantly which you can cash.
It is all about team work.

BENEFITS
[emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618]

Stage 1
You earn $26 or $58

Stage 2
You earn $1000
Brand new Apple iPad or hp laptop

Stage 3
You earn $3000
Brand new Hyundai Elantra car (worth $22,000)
$1000 cheque each handed over to two non member of H2i whom you personally recommended to H2i as less privilege.
All expenses lnt'l exotic holiday sponsored by H2i

Stage 4
You earn $6000
Brand new Hyundai ix35 Jeep worth $27000
Support for an orphanage home you personally recommended to H2i

Stage 5
You earn $12000
$40000 housing fund.
$2,000 Education Fund for you children
[emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551][emoji551]

I challenge you to explore this simple but powerful opportunity
Just a token of $40 (tshs 90,000/=) to become a partner of this great Organization........Do not miss out!!!
.............Join now.................!!!!!!!!!!!!!
 
[emoji246][emoji246][emoji246][emoji246][emoji246][emoji246]
A man had one very beautiful daughter.
When the daughter was ready for marriage, the father sent news around
town that all the eligible young men should come to compete in a test which would determine who was fit to marry his daughter.

[emoji246]
On that day, all was set, all the able-bodied young men came out. Some came with paper and biro and others
with cutlasses and swords.

[emoji246]
The rich man took them to his swimming pool and addressed the men:
“Any of you who can swim from one end of this swimming pool to the other
would marry my daughter.

[emoji246]
In addition, I‘ll give him 15 million dollars, a car and a house so they can start life well. I shall be waiting to meet my son-in-law at the other end. Good luck!”

[emoji246]
As the young men, all very excited at the prospect of winning, started taking
off their shirts, a helicopter came over the pool and dropped alligators and
crocodiles into the pool. Immediately, all the men turned back and started
wearing their shirts again. Disappointed, some of them said, ''That's crazy, let's
see who would marry that girl, no onewill''.

[emoji246]
All of a sudden, they heard a splash in the pool. Everybody watched in
amazement as one gentleman waddled
across, expertly avoiding the alligators and crocodiles.

[emoji246]
Finally, he made it to the other side. The rich man could not believe it. He
asked the young man to name anything he wanted but the man was still panting uncontrollably.

[emoji246]
Finally, he got back to his senses and made a request saying, ''SHOW ME THE
PERSON WHO PUSHED ME INSIDE THIS POOL!''

[emoji246]

Moral 1:
You don’t know what you are capable of doing until you are PUSHED!!.

Moral 2:
Those seeking to push you into the jaws of alligators and crocodiles may have helped you to reach your promised land!!!

[emoji246]
Sometimes it takes going through the bad moments to bring out the BEST in us.

[emoji246]
Trials are raw materials for Triumphant Testimonies... The push might take
different dimensions: some people needed to be sacked before realizing their potentials and reaching their goals in life.

[emoji246]
I PRAY YOU WILL GET A DIVINELY INSPIRED PUSH in your life.

It's not over until you win...
Keep on and Never give up on yourself and no matter what happens to you, NEVER GIVE UP ON GOD!
 
Your mind is like a GARDEN.

First you got to clear the GROUND and Till it. Get rit of all the WEEDS in it. Then the ground is ready to SOW and PLANT new SEEDS.

After that you have to WATER, FEED and CULTIVATE it or else the weeds will come back very quick. This is an ON GOING PROCESS that never stops.

But if you do all of this right, you will be able to REEP and HARVEST a beatiful CROP.

So be very picky as to what you ALLOW to get into your HEAD (a.k.a GARDEN) via people, books, media, etc.
 
Are You Addicted To A Paycheck...?

Disclaimer : Don't watch this video if you are lightly offended by somebody. Only watch if you truly are ready to want to change your situation and are not affraid to get the truth straight into your face.

If after watching you are now finally ready to get started in Network Marketing, you don't want to "try" & "guess" but you want "results" AND you are willing to follow first to lead afterwards send me a PM!
0768566119
 

Attachments

Back
Top Bottom