Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

1) Maji
2) Umeme
3) Barabara
4) Afya
5) Uongozi
6) Biashara
7) Katiba
8) Chakula
9) Ajira
10) Elimu
 
Changamoto #11 ni Magufuli ambaye ameshavunwa .
Bila shaka na hizo changamoto 10 zilizobaki zitamalizwa kwa wakati wake
 
Changamoto ni hizi:

1. CCM
2.CCM
3.CCM
...
...
...
100000. CCM.
 
Hiyo orodha yako inapaswa kuandikwa kwa kutumia neno moja tu: KATIBA. Mambo ya uongozi ndiyo yanasababisha changamoto za maji, umeme, chakula, elimu nk na huo uongozi ni zao la katiba.
Katiba haikuhakikishii chakula Bora na malez wew , kwa hiyo Kenya ghana na South Africa hizo changamoto zimeishaa
Tafuta pesa
 
1)Maji
2)Umeme
3)Barabara
4)Afya
5)Uongozi
6)Biashara
7)Katiba
8)Chakula
9)Ajira
10)Elimu
Changamoto namba 5 ndiyo Chanzo cha hizi changamoto nyingine zote..

Watu hutafuta Uongozi Kwa maslahi yao, wakishaupata hawajali shida za wananchi.
 
Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

1) Maji
2) Umeme
3) Barabara
4) Afya
5) Uongozi
6) Biashara
7) Katiba
8) Chakula
9) Ajira
10) Elimu
No 5 ndio msingi.Achilia tabia binafsi za waafrika
 
Back
Top Bottom