11. USALAMA. wakabaji, wizi, vibaka, matapeli, majambazi, ni changamoto kubwa sana kwenye jamii yetu. Kuna mitaa hapa nchini hata mchana mtu anapigwa kabari, cha kushangaza askari wapo makini sana na wapinzani wa serekali kuliko hata hao watu wanaleta madhara kwenye jamii.