Changamoto ajira portal kushindwa kutuma maombi ajira za TPA

Changamoto ajira portal kushindwa kutuma maombi ajira za TPA

captain 21

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2021
Posts
612
Reaction score
1,199
Wakuu mambo vipi? Hii changamoto moto ni kwangu tu au kwa wote. Nimekua nikihangaika kutuma maombi ajira za TPA (Planning Officer II) kupitia AJIRA PORTAL, kila nikijaribu mfumo unaniambia sina sifa. Nimejaribu mpaka ku-edit baadhi ya vitu lkn wapi bado inazingua, naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua anisaidie.
Screenshot_20250630_222214_Opera Mini.jpg
 
Wakuu mambo vipi? Hii changamoto moto ni kwangu tu au kwa wote. Nimekua nikihangaika kutuma maombi ajira za TPA (Planning Officer II) kupitia AJIRA PORTAL, kila nikijaribu mfumo unaniambia sina sifa. Nimejaribu mpaka ku-edit baadhi ya vitu lkn wapi bado inazingua, naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua anisaidie.View attachment 3389581
Wasiliana na technical support kwa e-mail
 
Wakuu mambo vipi? Hii changamoto moto ni kwangu tu au kwa wote. Nimekua nikihangaika kutuma maombi ajira za TPA (Planning Officer II) kupitia AJIRA PORTAL, kila nikijaribu mfumo unaniambia sina sifa. Nimejaribu mpaka ku-edit baadhi ya vitu lkn wapi bado inazingua, naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua anisaidie.View attachment 3389581
Mrejesho: Wakuu nimefanikiwa kuapply, nahisi ilikua ni changamoto tu ya kimfumo maana imekubali tu bila kufanya additional changes yeyote..
 
Back
Top Bottom