Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
Kuna uwezekano kwenye msingi kukawa na bomba limepita (linavuja) au water table ya hilo eneo ipo juu. Huyo fundi hukumnunulia grout? Mbona kama ameunga tiles kwa kutumia cement.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano kwenye msingi kukawa na bomba limepita (linavuja) au water table ya hilo eneo ipo juu. Huyo fundi hukumnunulia grout? Mbona kama ameunga tiles kwa kutumia cement.
Grauti zilinunuliwa za kutosha mpka nyingine zilibaki,hiko eneo water table ipo juu kweli,ila jengo lilipigwa jamvi kabla ya kuweka tiles, kitu ambacho nimeona ni kwamba hizo sehemu ambazo huo uchafu unatoka kuna nafasi ambazo grout haijawekwa!, hayo maji sio kama maji ya kawaida mana ni kama chemical reaction mana ni mazito na yanavutika yakikauka yanaacha rangi nyeupe,najiuliza yanatokea wapi sipati jibuKuna uwezekano kwenye msingi kukawa na bomba limepita (linavuja) au water table ya hilo eneo ipo juu. Huyo fundi hukumnunulia grout? Mbona kama ameunga tiles kwa kutumia cement.
Hiyo rangi nyeupe inayoachwa baada ya maji kukauka kwa asilimia kubwa inaweza ikawa ni chumvi au kitu chenye tabia inayofanana na chumvi, ukichukua maji yenye chumvi ukaweka mahali penye jua, maji yataondoka chumvi itabaki. Ungekuwa umeweka lile nylon kabla ya kumwaga jamvi, hiyo shida usingeionaGrauti zilinunuliwa za kutosha mpka nyingine zilibaki,hiko eneo water table ipo juu kweli,ila jengo lilipigwa jamvi kabla ya kuweka tiles, kitu ambacho nimeona ni kwamba hizo sehemu ambazo huo uchafu unatoka kuna nafasi ambazo grout haijawekwa!, hayo maji sio kama maji ya kawaida mana ni kama chemical reaction mana ni mazito na yanavutika yakikauka yanaacha rangi nyeupe,najiuliza yanatokea wapi sipati jibu
Ina maji maji,lakini kabla ya hapo palikuwa na nyumba nyingine,uliwekwa sakafu ya cement hakukuwa na changamoto kama hiiArdhi ya eneo umegenga nyumba ikoje!?
Asante mkuu kwa mawazo yakoInaonekana ulijenga eneo oevu(lenye maji) bila kuchukua tahadhali kwa kulaza nylon na kumwaga oversite concrete.
Kwahiyo kufanya maji yatoke chini na kupanda juu.
Kama hautafanya marekebisho kwa kufumua hizo tiles na kufanya hicho cha juu basi tiles zenyewe zitatoka zenyewe hapo baadaye.
Pole sana
Goodwill tiles,kutoka mkurangaTiles zilizotumika ni kampuni/trade name gani kwanza?
Nahisi ndio zenye shida ya kuyeyusha material fulani yaliyo chini yake inaponyesha mvua
Grauti zilinunuliwa za kutosha mpka nyingine zilibaki,hiko eneo water table ipo juu kweli,ila jengo lilipigwa jamvi kabla ya kuweka tiles, kitu ambacho nimeona ni kwamba hizo sehemu ambazo huo uchafu unatoka kuna nafasi ambazo grout haijawekwa!, hayo maji sio kama maji ya kawaida mana ni kama chemical reaction mana ni mazito na yanavutika yakikauka yanaacha rangi nyeupe,najiuliza yanatokea wapi sipati jibuTiles zilizotumika ni kampuni/trade name gani kwanza?
Nahisi ndio zenye shida ya kuyeyusha material fulani yaliyo chini yake inaponyesha mvua
Mkuu vigae vinahitaji fundi kweli kweliDuuuh, nataka Kuweka Vigae (Tiels) namie Mnanitisha Wakuu,
Kumbe Utaalamu una hitajika
Asante sana mkuuHiyo rangi nyeupe inayoachwa baada ya maji kukauka kwa asilimia kubwa inaweza ikawa ni chumvi au kitu chenye tabia inayofanana na chumvi, ukichukua maji yenye chumvi ukaweka mahali penye jua, maji yataondoka chumvi itabaki. Ungekuwa umeweka lile nylon kabla ya kumwaga jamvi, hiyo shida usingeiona
Dah!🤣🤣usikute hayo n machozi ya fundi aisee
Aiseeumejenga juu ya kaburi mkuu
Hizo tiles hazikuwekwa na fundi professional...! Nimegundua hilo baada ya picha moja kuonesha tofauti kubwa ya lines!Ina maji maji,lakini kabla ya hapo palikuwa na nyumba nyingine,uliwekwa sakafu ya cement hakukuwa na changamoto kama hii
Nimekuelewa sana mkuuHizo tiles hazikuwekwa na fundi professional...! Nimegundua hilo baada ya picha moja kuonesha tofauti kubwa ya lines!
Pia hata uwe Groute, ama hawakutumia Groute yenye
Ubora ama hawakuweka kwa Utaalam!
Kwa sababu Groute ina cement na mchanganyiko mwingine ndani yake, uki apply vile inatakiwa, haiwezi kuruhusu maji mazito kama hayo kutoka ndani kuja nje, zaidi ungeona Groute ina unyevu tu.
Ndo mara ya kwanza kuona kitu kama hicho.
Aisee[emoji3][emoji3]eneo lako linauwezekano wakua na gesi asilia
Hawafunzwi usafi ni shida ya mafundi woteMadoa,kwa mafundi wa mtaani ni changamoto,sio wasafi kabisa
Mafundi wengi ni wachafu, fundi anapiga rangi ya ukutani hadi kwenye milango na AluminiumHawafunzwi usafi ni shida ya mafundi wote
Hizo hazina shida, sijawahi sikia kuhusishwa na kesi kama hiyo. Itakuwa maji toka ardhini sasaGoodwill tiles,kutoka mkuranga