Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Ungekuwa mwanaume wa Dar, kuna wa mashambani hapa wangekunanga.Habari
Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary.
Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja iliyopo hapo mwanza(jina kapuni).
Nilifanya kazi pale japokuwa kulikuwa na wanafunzi wa kiarabu na kihindi changanya na waswahili wenye hela zao.
Mimi nilikuwa patron wao kipindi hicho ila waarabu nilikuwa siwapendi kabisa. Watoto wa kiarabu ni wababe sana, mfano kulikuwa na mwanafunzi wa kike wa kiarabu yeye alikuwa anawapa wenzake adhabu au kuwapigisha darasa zima magoti.
Japokuwa watoto wale ni waelewa sana. Siku moja nilikwenda kazini na stress zangu. Mtoto mmoja wa kiarabu nilijikuta nimemchapa sana mpaka akawa mwekundu hasa.
Jioni ilipofika alirudi kwao kwa sababu kulikuwa na wa kulala na kwenda nyumbani. Balaa lilikuja asubuhi, ilikuja vogue nyeusi, yule mtoto aliteremka na baba yake akiwa kashika bunduki. Kilichofuata mimi nilikimbia kabisa na sikurudi shuleni pale. Mwisho nilifukuzwa kazi
asante
Ungekuwa mwanaume wa Dar, kuna wa mashambani hapa wangekunanga.
Ila kwakuwa ni mwenzao, ngoja tukuvumilie tu, hamna namna tena.
Hhahahaaa.... haya bhanaAna asili ya dar huyu mtoa mada.
Wanaume wa dar waoga kweli kasoro babu asprin
Naunga mkono hoja.Ana asili ya dar huyu mtoa mada.
Wanaume wa dar waoga kweli kasoro babu asprin
Na kweli nyie mnapendana, hivi ukaguzi tayari?Hhahahaaa.... haya bhana
Mi nakupenda tu, hamna namna tena
Kila mtu anajua mashine yangu ni imara. Najua uliufurahia ukaguzi wanguKabisa maana ukaguzi ulifanyika kupitia mashine hospital
Kila mtu anajua mashine yangu ni imara. Najua uliufurahia ukaguzi wangu
..................Hee yamekua hayoView attachment 518334
Ukaguzi kimya kimya!Tayari kabla hata sijazaliwa hahah
Ila ungejibu zaidi,mzee kijana una busara za kutosha kabisa
Ila ile mashine yako unga wake safiiii, kwani kuna hamila?Kila mtu anajua mashine yangu ni imara. Najua uliufurahia ukaguzi wangu
Ukaguzi kimya kimya!
Inatakiwa iwe wazi, yaani tuone mtu na cliniki....[emoji12]