CHANGAMOTO GANI ULISHAWAHI KUKUTANA NAYO KAZINI.

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari

Mwaka 2011 wakati namaliza A level nili-bashite haswa nikawa sina chaguo lingine zaidi ya kwenda kusoma ualimu wa primary.

Nilipohitimu nilipangiwa kwenda kufanya english medium moja iliyopo hapo mwanza(jina kapuni).

Nilifanya kazi pale japokuwa kulikuwa na wanafunzi wa kiarabu na kihindi changanya na waswahili wenye hela zao.

Mimi nilikuwa patron wao kipindi hicho ila waarabu nilikuwa siwapendi kabisa. Watoto wa kiarabu ni wababe sana, mfano kulikuwa na mwanafunzi wa kike wa kiarabu yeye alikuwa anawapa wenzake adhabu au kuwapigisha darasa zima magoti.

Japokuwa watoto wale ni waelewa sana. Siku moja nilikwenda kazini na stress zangu. Mtoto mmoja wa kiarabu nilijikuta nimemchapa sana mpaka akawa mwekundu hasa.

Jioni ilipofika alirudi kwao kwa sababu kulikuwa na wa kulala na kwenda nyumbani. Balaa lilikuja asubuhi, ilikuja vogue nyeusi, yule mtoto aliteremka na baba yake akiwa kashika bunduki. Kilichofuata mimi nilikimbia kabisa na sikurudi shuleni pale. Mwisho nilifukuzwa kazi

asante
 
Ungekuwa mwanaume wa Dar, kuna wa mashambani hapa wangekunanga.

Ila kwakuwa ni mwenzao, ngoja tukuvumilie tu, hamna namna tena.
 
Nilipokuwa head wa department..alafu anafukuzwa kazi staff unayemtegemea bila ya wewe kupewa taarifa..itabidi na mimi ni resign asap...
 
Hee yamekua hayo
images(1).jpg

Kila mtu anajua mashine yangu ni imara. Najua uliufurahia ukaguzi wangu
 
Tayari kabla hata sijazaliwa hahah

Ila ungejibu zaidi,mzee kijana una busara za kutosha kabisa
Ukaguzi kimya kimya!
Inatakiwa iwe wazi, yaani tuone mtu na cliniki....[emoji12]
 
Back
Top Bottom