Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

v0il0r

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
24
Reaction score
26
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>

Kama unaswali uliza au maoni changia
 
Kama fundi alizingua kazi ya umeme katika kusuka au kutengeneza kifaa cha umeme nyumbani kwako, toa hiy shida, tuone tunatatuaje vipi
 
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>

Kama unaswali uliza au maoni changia
Nahitaji Cost effective Electric Room Heater, nitapata kwenu au wapi naweza kupata,
 
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>

Kama unaswali uliza au maoni changia
Unafanyaga wiring Mkuu?
Vipi gharama zako?
 
Back
Top Bottom