v0il0r Member Joined Jan 23, 2018 Posts 24 Reaction score 26 Apr 29, 2023 #1 Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
v0il0r Member Joined Jan 23, 2018 Posts 24 Reaction score 26 Apr 29, 2023 Thread starter #2 Kama fundi alizingua kazi ya umeme katika kusuka au kutengeneza kifaa cha umeme nyumbani kwako, toa hiy shida, tuone tunatatuaje vipi
Kama fundi alizingua kazi ya umeme katika kusuka au kutengeneza kifaa cha umeme nyumbani kwako, toa hiy shida, tuone tunatatuaje vipi
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Apr 30, 2023 #3 v0il0r said: Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia Click to expand... Nahitaji Cost effective Electric Room Heater, nitapata kwenu au wapi naweza kupata,
v0il0r said: Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia Click to expand... Nahitaji Cost effective Electric Room Heater, nitapata kwenu au wapi naweza kupata,
S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,627 Reaction score 1,926 May 1, 2023 #4 v0il0r said: Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia Click to expand... Unafanyaga wiring Mkuu? Vipi gharama zako?
v0il0r said: Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia Click to expand... Unafanyaga wiring Mkuu? Vipi gharama zako?