GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Habari wakuu,
Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.
Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi 3 bila ya mtoto huyo kuwepo.
Tatizo ninaloliona ni utundu wa huyo mtoto ambao wakati mwingine unasababishwa na kudekezwa na mama yake.
Mfano siku moja aliiburuza chini Iphone ya baba yake mlezi, akafokewa na baba huyo, Jambo hilo lilisababisha mama akasirike kwa madai kuwa baba hampendi mtoto.
Je changamoto gani nyingine za kuoa mwanamke mwenye mtoto mdogo?
========

Wakati nakutana naye we were like ok we will just be fvck buddies at that point her kid was four months old. A month after FWB started she told me she thinks the FWB degrades her so let's have a relationship.
As a nigga I couldn't throw away my chances of smashing a fine nyau so I agreed. Fast forward a year later dogo amekua anaongea na mtu anayemuona na mama yake ni mimi so lil nicca called me daddy. Baba yake mzazi alikua ameisusa familia so nilikua ni provider since akiwa na miezi sita hivi.
Dogo akakua mpaka miaka 2 hapa sasa mzee wake akaja kutaka mtoto binafsi naamini wanaume hatupotezei watoto wetu kwa kupenda so sijawahi kua against interests za mshkaji anapokua anamtaka mwanae. So nilivyoambiwa anataka mtoto aende nikasema aende, mtoto kufika alivyoonyeshwa baba akakataa akasema a guy is not his father and in fact anataka baba yake apigiwe simu ili awasemee mama mtu alivyopiga alivyoniambia hivyo pengine alidhani nitafurahi ila nikakata simu.
Anyway, dogo ana miaka 5 sasa hivi, ana wadogo zake, tupo mikoa tofauti ila since akiwa na miaka 2 tumeishi pamoja. Mitihani ya mwezi uliopita katika swali la 'What is your father's name' akaandika jina langu hajajua kulitamka vizuri so kaandika kama anavyolitamka ila hua naelewa hapo kamaanisha jina langu.
Msingi wa uhusiano wowote uwe na single parent au la ni uaminifu na kuaminiana this will keep you going na kuacha zile za Baba mtoto akimcheki tu anapiga, hizi ni stori tu uhalisia ni zaidi ya hivyo as kama mtu wako anataka kumegwa atamegwa hata na jirani zenu.
Kuhusu kulea watoto na attitude yako towards mtoto uliyemkuta nafikiri inarandana zaidi na mtazamo wako katika kulea watoto. Mfano mtoto kaburuza simu ni tabia ya kipuuzi kumuonyesha hapa siyo sahihi ni lazima, mama yake anaingilia kwa kusema humpendi hapo tatizo ni mama na siyo mtoto.
Kama amekuamini mpaka kumleta mtoto hapo means ameamini utamlea na malezi yanajumuisha kumfundisha mtoto kwamba actions have consequences. Kama huyo mama haamini katika kufundishana nidhamu ongea naye asipoelewa mdrop mapema huko mbele mtazidi kusumbuana.