Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Baba wa mtoto amefariki?
Kama ni mzima atarndelea kupasha kiporo kwa hiyo jiandae kisaikolojia kabisa!
Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwakatalia mbususu wazazi wenzao!
Jiandae kulazimishwa kumhudumia mtoto kama vile wewe ndio uliyechangia mbegu na kumpenda kilazima!
Mapenzi yote na akili zote za mama zinakuwa kwa mtoto sio wewe!
Hivi kweli una shida gani mpaka uende kuparamia wanawake wenye watoto na uweke ndani?

Usiombe kukutwa na bwana pepsi!
Duh![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
HAIFAI KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO KWANI AKILI NA MAWAZO YAKE NI KWA MTOTO WAKE NA AMEKUJA KWAKO ILI AONE KESHO NZURI YA MTOTO WAKE.SIKU WAKIWA NA MWELEKEO WATOTO WAKE HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA. HATA KAMA ALIPATA MIMBA UTOTONI BADO KUISHI NAYE NI CHANGAMOTO SANA.
 
Hawaachanagi hao kwa kisingizio cha mtoto, wengine wanaendaga mbali kwa viujinga vya kuitwa co-parenting, kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni sawa upo na mpenzi wa mtu.....we kama unaweza kumuacha muache tu
Evelyn wa Munyu Sisi kaka zako hatuna cha kukulipa
Mwenyezi Mungu akubariki kadiri anaona inafaa,huwa unatutetea Sana humu.
 
Kuishi Na mwanamke mwenye mtoto au asiye Na mtoto yote ni sawa,
Itategemea Na mwanaume anataka akili yake iwaze Nini,
Ila tambua wanawake ni kama watoto ukiwajulia Wala hawakupi shida,
Wahi kumsoma mwanamke unayetaka kuishi Naye kabla yeye hajakusoma!
Unatumia kinywaji gani mkuu?
 
Kwa niliyoyapata mimi kelphin
Wadada wa jf mnisamehe bule
Sitokaa nijaribu kufanya hivyo
Nipumzike sasa!
 
Si ndio jamani, mtoto anajisikia raha mama yake nikipendeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85]
Sawa sawa 😅😅😅😅😅 tuendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa
 
Back
Top Bottom