Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Duh![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Kwanini utake mtoto amsahau baba yake? Ili iweje sasa?
Tumechoka kuwalelea kama vipi mlee wenyewe sio mnajua kujaza mimba tu kwangu mm haipo ukimwacha na mtoto hesabu huna chako hata ufanyeje
 
HAIFAI KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO KWANI AKILI NA MAWAZO YAKE NI KWA MTOTO WAKE NA AMEKUJA KWAKO ILI AONE KESHO NZURI YA MTOTO WAKE.SIKU WAKIWA NA MWELEKEO WATOTO WAKE HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA. HATA KAMA ALIPATA MIMBA UTOTONI BADO KUISHI NAYE NI CHANGAMOTO SANA.
 
Hawaachanagi hao kwa kisingizio cha mtoto, wengine wanaendaga mbali kwa viujinga vya kuitwa co-parenting, kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni sawa upo na mpenzi wa mtu.....we kama unaweza kumuacha muache tu
Evelyn wa Munyu Sisi kaka zako hatuna cha kukulipa
Mwenyezi Mungu akubariki kadiri anaona inafaa,huwa unatutetea Sana humu.
 
Unatumia kinywaji gani mkuu?
 
Kwa niliyoyapata mimi kelphin
Wadada wa jf mnisamehe bule
Sitokaa nijaribu kufanya hivyo
Nipumzike sasa!
 
Si ndio jamani, mtoto anajisikia raha mama yake nikipendeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85]
Sawa sawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tuendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…