Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi,
Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana, kufanya toba na ibada, anasoma Biblia au Quran mno;
1. Akiachwa ama kusalitiwa na mpenzi au mwanandoa wake?
2. Akiwa hana pesa na dhiki zimemuandama?
3. Akiwa amefanya mapenzi na mtu asiyejua afya yake na hakutumia kinga?
4. Akiwa amefiwa na mtu wake wa karibu kama mzazi, mwanandoa, mtoto, ndugu ama rafiki?
Kwasisi binadamu wa zama hizi ni wapi wengi wetu tunapitia humo.