Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow Africa 🌍

Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea.

Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini?

Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka mbalizi mpaka unafika makongorosi unakula vumbi la kutosha kiasi kwamba unajuta kwenda nyumbani kusalimia na mbunge yupo.

Kwa upande wako vipi?
 
Back
Top Bottom