Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Habari za leo WanaJF,

Rejea, kichwa cha uzi hapo juu.

Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi.

Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
 
wanafunzi ote unao waona hapo wanakuwa selected na wenyewe chuo husika hpo sio TIA ambako unakaa tu home from makambako ukaaply then ukakubaliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umetisha, ukisikia polisi wametoa nafasi za kazi nenda,ukipita kwenye usaili ndio utakanyaga kwenye viwanja vya CCP.
 
Mimi nataka kuapply mwenye link anipatie
 
wanafunzi ote unao waona hapo wanakuwa selected na wenyewe chuo husika hpo sio TIA ambako unakaa tu home from makambako ukaaply then ukakubaliwa
Kuna kozi za kuapply pia, hauwi selected kama mwenyewe hujaamua kusoma
 
Kuna kozi za kuapply pia, hauwi selected kama mwenyewe hujaamua kusoma
Mkuu ili usome kwenye kile chuo na wewe lazima uwe polisi kuna course ya ICT inatolewa lakini kwa askari polisi tu,kile ni chuo cha kuwapika askari polisi.
 
Tutafika tumechoka Sana bongo

Kuna mwingne ameanzisha uzi anataka kuappply chuo cha jeshi monduli anataka kusomea nyota ya Kwanza sijui luten usu

So anaomba msaada Jinsi ya kuapply
 
Tutafika tumechoka Sana bongo

Kuna mwingne ameanzisha uzi anataka kuappply chuo cha jeshi monduli anataka kusomea nyota ya Kwanza sijui luten usu

So anaomba msaada Jinsi ya kuapply
[emoji1]

Watu wanataka shortcut
 
Pale CCP huendi hadi wakuite wenyewe na ukienda pale maana yake umeshapata kazi ya polisi kama utamaliza mafunzo bila kufukuzwa
Kwahiyo nafasi za pale ni nafasi za kazi huendi tu kusoma Kama vyuo vingine ukimaliza ukae kwanza mtaani ndo maana inakua ngumu ku apply Kama unavyojaribu kufanya wewe, wanatoa mafunzo kwa idadi ya watu wanaowahitaji tu na wanaenda kuwatumia mikoani wakimaliza mafunzo ,siku hizi naona wanachukua watu wa jkt Kama una sifa na unataka kwenda subiri watoe nafasi za kazi ukipita kwenye interview zao utapelekwa bila kutaka
 
Ukienda kusoma hakikisha unaisoma PGO kwa umakini maana polisi mlitia aibu sana mahakamani.
 
Tutafika tumechoka Sana bongo

Kuna mwingne ameanzisha uzi anataka kuappply chuo cha jeshi monduli anataka kusomea nyota ya Kwanza sijui luten usu

So anaomba msaada Jinsi ya kuapply
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende monduli akaombe aone atakavyopigwa Uchura

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom