😂 Labda hana uelewa huo ila SKUA Tanga hakuna raia pale wanao ruhusiwa kusoma kweli?Sasa unataka uende kusoma nini wakati wanaoenda kusoma pale wote ni mapolisi au na wewe ni mmoja wao?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
wanafunzi ote unao waona hapo wanakuwa selected na wenyewe chuo husika hpo sio TIA ambako unakaa tu home from makambako ukaaply then ukakubaliwaHabari za leo WanaJF,
Rejea, kichwa cha uzi hapo juu.
Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi.
Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
Mkuu ili usome kwenye kile chuo na wewe lazima uwe polisi kuna course ya ICT inatolewa lakini kwa askari polisi tu,kile ni chuo cha kuwapika askari polisi.Kuna kozi za kuapply pia, hauwi selected kama mwenyewe hujaamua kusoma
wanawapika kwa motoMkuu ili usome kwenye kile chuo na wewe lazima uwe polisi kuna course ya ICT inatolewa lakini kwa askari polisi tu,kile ni chuo cha kuwapika askari polisi.
[emoji1]Tutafika tumechoka Sana bongo
Kuna mwingne ameanzisha uzi anataka kuappply chuo cha jeshi monduli anataka kusomea nyota ya Kwanza sijui luten usu
So anaomba msaada Jinsi ya kuapply
Kwa mafunzo.wanawapika kwa moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende monduli akaombe aone atakavyopigwa UchuraTutafika tumechoka Sana bongo
Kuna mwingne ameanzisha uzi anataka kuappply chuo cha jeshi monduli anataka kusomea nyota ya Kwanza sijui luten usu
So anaomba msaada Jinsi ya kuapply