mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma.
Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya?
Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile nidhamu ya watumishi iliyokuwepo nayo imeanza kutoweka? Hili nalo mama anasemaje? Mnaenda kulilia wakenya waje kuwekeza mpate kodi huku zipo fursa mnaziignore kabisa?! Nchi hii iko serious kweli?
Au ndo Ile Ile one man show.
Uhuru wa habari uko wapi mbn habari hizi hawareporti?