CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI​

Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu
View attachment 2198199
hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni
(1) ordinary diploma in holder certificate of secondary education with at least 4 passes in non-religious subject and basic technician certificate (nta 4),
(2) bachelor of education in science
(3) bachelor of arts with education na
(4) bachelor of arts (education)
MISSING: Bachelor of Education in Arts
View attachment 2198195

na kingine kina course ya Bachelor of Science (Education) pekee
View attachment 2198200
Kwa upande wa Arts kuna kozi mbili tu ambazo ni
(1) Bachelor of Arts (education) na
(2) Bachelor of Arts with education ambazo zote hizi zina masomo matatu (3) pekee ambayo ni
View attachment 2198198
  • Geography,
  • English na
  • History
  • MISSING: kiswahili

View attachment 2198194
 
Back
Top Bottom