Changamoto katika ufugaji wa kuku

Changamoto katika ufugaji wa kuku

Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
Mkuu kwa nini unataka kuwachanganya? Unataka wafanyane nini? Unajua wanaweza wakatoa kiumbe cha ajabu sana, kama ikitokea jogoo akampanda bata jike au Bata dume likimpanda kuku jike?
 
Kiongozi sio kuwa cross, nafikiria kuwachanganya kwa lengo la kukaa pamoja
 
Back
Top Bottom