Mkuu kwa nini unataka kuwachanganya? Unataka wafanyane nini? Unajua wanaweza wakatoa kiumbe cha ajabu sana, kama ikitokea jogoo akampanda bata jike au Bata dume likimpanda kuku jike?