A
Anonymous
Guest
Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage.
Kiufupi kuna changamoto na mbaya zaidi wameweka number za simu zote hazipatikani.
Tafadhali rekebisheni hili tatizo ili twende na deadline ya TCU.
Pia soma ~ Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yafungua Dirisha la Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026