Nchi hii mtu akisoma ndo anakuwa mjinga Zaid. Hiyo issue imewah Nikuta wakat naapply chuo Cha muhimbili mwaka Jana. Namba waliyokuwa wameweka ukipiga anapokea mwanamke wa kisukuma. Mpaka nikapata namba nyingine kwa njia nyingine ndo wakapatikana. Ujinga mtupu