Nianze na Salamu kwanza ndugu wa zangu wa JF, wakubwa shikamoo na wadogo kwangu habari zenu na rika langu je mambo vipi!?
Baada ya Salamu naomba niseme kwa yoyote mwenye changamoto yoyote MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA
WAdau baada ya kuandika Uzi wa baba mwenye Nyumba ananidai Kodi yake basi nilisoma comment na kupata akili jinsi ya kumwambia nakili nilisema pia yasiyo kuwemo ili nibakie kwake wakati najitafuta,