KERO Changamoto kwa madaktari tarajali Hospital ya Rufaa ya Amana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)

1. Mazingira magumu kazini

Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.

2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma

Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).

Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..

3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo

Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
 
Daktar tarajali ni kama kuruta jeshini tii oda piga kazi acha kulalama hayo unayoyasema utayakuta ukifaulu na kuthibitishwa na MCT
 
Utaona umuhimu wa wao hao madaktari tarajali kuwa na usimamizi thabiti pale utakapoenda ukiwa mgonjwa na akakutibu kwa kukosea,kisa muongozaji wake hayupo yupo kwenye KIJIWE anapiga kazi.We unadhani waziri mkuu akifika,daktari tarajali anaweza akamuatendi pasipo uwepo wa daktari mzoefu ambaye kathibitishwa na MCT?
Usijibu bora kujibu.
 
Ukitaka kijana wako afe masikini na ateseke sababu ya elimu yake, mpeleke akasomee udaktari wa binadamu

Ni kweli kwa sababu udaktari haupo kuwafanya watu matajiri bali ni kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa.

Lengo la udaktari toka kale umejikita katika kuokoa maisha ya binadamu kutokana na maradhi na si kuwafanya masikini tajiri.

Ndiyo maana udaktari ni wito, kama kuna waliokimbilia au wanaokimbilia ili wawe matajiri basi wamepotea njia na pengine ndiyo wanaoharibu taaluma hiyo yenye heshima.

Kila la kheri.
 
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)

1. Mazingira magumu kazini

Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.

2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma

Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).

Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..

3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo

Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote

Pole sana.

Sheria inataka daktari tarajali (intern) afanye kazi zake chini ya uangalizi wa madaktari.

Ni muhimu mkawasilisha malalamiko yenu kwa uongozi wa hospital kwa njia rasmi isiishiye tu kulalamika mitandaoni.

Kila la kheri.
 
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)

1. Mazingira magumu kazini

Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.

2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma

Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).

Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..

3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo

Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
'Intern' ni mdudu. Vumilia, utamaliza.!
 
Intern hasa madaktari wanafanya kazi katika mazingira magumu mno, inasikitisa sana hasa pale unapokuta ma daktari wanaohusika kuwasimamia wanawavunja moyo wanawadhalilisha...hii sio amana tu hospital nyingi hasa za rufaa
Unataka upewe maneno matamu kwenye udaktari hususani ukiwa 'Intern'?! Kikubwa kama shule huna kaa chini usome. Usijikweze kujiona ushakuwa daktari kamili.
Wacha wakushone vizuri.
 
Ndiyo maana udaktari ni wito, kama kuna waliokimbilia au wanaokimbilia ili wawe matajiri basi wamepotea njia na pengine ndiyo wanaoharibu taaluma hiyo yenye heshima.
Na wale wanaomiliki Zahanati binafsi je? Maana kuna daktari namfahamu ana Zahanati binafsi za kutosha sio Masikini plus Maduka ya Dawa Muhimu kila sehemu anaweka tu wafanyakazi wapige kazi 24 hrs
 
Hoja sio kumiliki zahanati au duka la dawa, hoja ni kusoma udaktari ukiwa na mentality ya kuwa bilionea,,,hata viapo wanakula madaktari havisemi kupitia udaktari wao watakuwa matajiri bali ni kuhudumia wagonjwa kwa uwezo wao wote.
 
Ndio maana kwa mambo hayo ilipelekea kifo cha mdogo wangu 2021, unafikisha mgonjwa emergency akuna anayejali...
 
1&2 ndio masuala ya Msingi sana ila hilo 3 wala halina ubaya mkuu
 
Po
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)

1. Mazingira magumu kazini

Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.

2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma

Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).

Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..

3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo

Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
Poleni sana...
 
Ili uwe dakatari na kiongozi mzuri hapo baadaye, kipindi hiki usichague kazi, hata kudeki wodi inakuhusu, kubali kutumwa na wauguzi, hawa ni walimu wazuri sana na ndyo wanaofanya uwe daktari bora
Usilete ubishoboro kabla hata hujapata leseni, hiyo fani nadhani umeidandia kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom