A
Daktar tarajali ni kama kuruta jeshini tii oda piga kazi acha kulalama hayo unayoyasema utayakuta ukifaulu na kuthibitishwa na MCTMadaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)
1. Mazingira magumu kazini
Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.
2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma
Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).
Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..
3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo
Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
Utaona umuhimu wa wao hao madaktari tarajali kuwa na usimamizi thabiti pale utakapoenda ukiwa mgonjwa na akakutibu kwa kukosea,kisa muongozaji wake hayupo yupo kwenye KIJIWE anapiga kazi.We unadhani waziri mkuu akifika,daktari tarajali anaweza akamuatendi pasipo uwepo wa daktari mzoefu ambaye kathibitishwa na MCT?Daktar tarajali ni kama kuruta jeshini tii oda piga kazi acha kulalama hayo unayoyasema utayakuta ukifaulu na kuthibitishwa na MCT
Ukitaka kijana wako afe masikini na ateseke sababu ya elimu yake, mpeleke akasomee udaktari wa binadamu
Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)
1. Mazingira magumu kazini
Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.
2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma
Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).
Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..
3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo
Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
'Intern' ni mdudu. Vumilia, utamaliza.!Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)
1. Mazingira magumu kazini
Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.
2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma
Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).
Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..
3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo
Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
Unataka upewe maneno matamu kwenye udaktari hususani ukiwa 'Intern'?! Kikubwa kama shule huna kaa chini usome. Usijikweze kujiona ushakuwa daktari kamili.Intern hasa madaktari wanafanya kazi katika mazingira magumu mno, inasikitisa sana hasa pale unapokuta ma daktari wanaohusika kuwasimamia wanawavunja moyo wanawadhalilisha...hii sio amana tu hospital nyingi hasa za rufaa
Na wale wanaomiliki Zahanati binafsi je? Maana kuna daktari namfahamu ana Zahanati binafsi za kutosha sio Masikini plus Maduka ya Dawa Muhimu kila sehemu anaweka tu wafanyakazi wapige kazi 24 hrsNdiyo maana udaktari ni wito, kama kuna waliokimbilia au wanaokimbilia ili wawe matajiri basi wamepotea njia na pengine ndiyo wanaoharibu taaluma hiyo yenye heshima.
KwannUkitaka kijana wako afe masikini na ateseke sababu ya elimu yake, mpeleke akasomee udaktari wa binadamu
Hoja sio kumiliki zahanati au duka la dawa, hoja ni kusoma udaktari ukiwa na mentality ya kuwa bilionea,,,hata viapo wanakula madaktari havisemi kupitia udaktari wao watakuwa matajiri bali ni kuhudumia wagonjwa kwa uwezo wao wote.Na wale wanaomiliki Zahanati binafsi je? Maana kuna daktari namfahamu ana Zahanati binafsi za kutosha sio Masikini plus Maduka ya Dawa Muhimu kila sehemu anaweka tu wafanyakazi wapige kazi 24 hrs
Poleni sana...Madaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)
1. Mazingira magumu kazini
Mazingira magumu ya kazi
Kufanya kazi kwa saa nyingi (hadi 72 mfululizo) bila kupumzika.
2. Ukosefu wa usimamizi na msaada wa kitaaluma
Kukosa ufuatiliaji wa karibu kutoka kwa madaktari bingwa (consultants).
Kuachiwa majukumu makubwa bila maelekezo ya kutosha huku madaktari husika wakiondoka eneo la tukio..
3. Kudhalilishwa na kutothaminiwa kazini
Kufanyishwa kazi kama “mtu wa chini” bila kuthamini mchango wao.
Kupewa majukumu ya wafanyakazi wengine kama kupeleka wagonjwa kwenye vipimo licha ya waajiriwa maalum kuwepo
Uongozi wa hospital utusaidie kutatua changamoto hizo ili kuweka mazingira rafiki kwa madaktari wote
Ili uwe dakatari na kiongozi mzuri hapo baadaye, kipindi hiki usichague kazi, hata kudeki wodi inakuhusu, kubali kutumwa na wauguzi, hawa ni walimu wazuri sana na ndyo wanaofanya uwe daktari boraMadaktari tarajali katika hospital ya rufaa ya Amana wanafanya kazi kwenye mazingira magumu licha ya uwongozi wa spital kujuwa changamoto zao hasa katika kitengo cha dharura (emergency department)