Changamoto kwa mliopewa dhamana katika sekta hii inayozidi kuangamia !

Changamoto kwa mliopewa dhamana katika sekta hii inayozidi kuangamia !

H. w Salu.

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Kwa muda wote ambao serikali imekaa kimya na kubaki kukomalia kauli za kisiasa kuhusu ajira za walimu tofauti na miaka mingine sipati picha kama bado kutakuwa na kero katika halmashauri kwa walimu watakaopangiwa kuripoti, nakumbuka katika halmashauri moja mwaka 2012 _ Afisa mmoja alifungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya masaa mawili kwa kuzembea na kuonesha dalili za udanganyifu ktk kuwapa walimu stahiki zao !, ninawaasa kwa mwaka huu wajiandae maana hasira za walimu kuchoka huko mtaani zisije zikaishia kwao !, , hv kwa haya yote yanayofanyika na inapotokea walimu kukosa ari na morali ktk kazi, je hili kosa na hizi lawama zinapaswa kuelekezwa wapi hasa !?!
 
Back
Top Bottom