chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mimi mtu akiniambia anataka kufungua bar na mshangaa sana.
Biashara ya bar ina mambo ya giza giza sana na usipokuwa makini pepo unaweza kuisikia.
Biashara ya bar inaweza kukutajilisha gafla au kukutoa gafla.
walevi ni wale wale wanaposikia bar mpya watakuja wakichoka wataondoka.ndio maana ikifunguliwa bar mpya wote watakuja.
Biashara ya bar asilimia fulani ina mazingira ya kuweka madanguro au watu kujiuza kama bar inawika uwezi kuwa kwepa.
Ni moja ya biashara ya fitina kubwa kama eneo mpo sehemu mmoja mnafanya biashara.kurogana ni jambo la kawaida.
Matukio ya Biashara za bar kama watu kujipa risasi,ugonvi,uvamizi na wizi.hakikisha bar kubwa sio kutembea na gari umeweka vitu vya thamani.
Biashara ya bar utakiwi kujulikana wewe mwenye bar la sivo ukubali kuzungusha kwa wanaokuja.
Biashara ya bar ukipenda ngono utamaliza wafanyaki wako aka wahudumu bila kujua.
Biashara ya bar ukipenda kunywa basi wewe kwenye daftari la madeni ukosi.
Baishara ya bar ni kama kamali unaweza kuweka pesa nyingi ila usipokuwa makini kipindi cha kwanza bar hipo hot hot basi imekula kwako.
Biashara ya bar inataka mtu wajiko mzuri ndio itadumu.
Biashara ya bar inataka warembo na wadangaji kuwa wadau wakubwa kwenye bar yako pamoja na chawa.
kama unaelekea kustaafu siku shauri maana huku utastaafu mara ya pili vibaya mno sio kuzuri.
Ni hayo kwa wale mnataka kufungua bar