Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Habari wakuu!

Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
 
Wote
 
Sijaelewa hao vijana wengi uliowafungulia wanakuhusu nini pia unasema simu hawapokei.

Baada ya kuwafungulia wakakupa kazi za kuzi manage???
 
Nilifikiri ni mimi tu.
 
Mkuu hao wanazingua, hadi mda huu bado hawajarekebisha. Na kuna kazi zimetangazwa kibao za TAFORI. sijui wanatutakia nini hao.
 
Habari wakuu!

Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi peke yangu au na nyinyi pia wenzangu?
ajira portal ilidukuliwa na wadukuzi ila kwa sasa imetangamaa
 
Sijaelewa hao vijana wengi uliowafungulia wanakuhusu nini pia unasema simu hawapokei.

Baada ya kuwafungulia wakakupa kazi za kuzi manage???
Huyu atakuwa na internet cafe anafanya biashara ya kuwaombea vijana kazi.
Vijana wetu siku hizi ni bure kabisa. Annafika stationery anaulizia kama Kuna CV. Hawawezi kuandaa wasifu wala barua za maombi ya kazi
 
ila maisha matamu sana tunawa-editia tu cv na barua elf 5 chap wanasepa zao
 
Sijaelewa hao vijana wengi uliowafungulia wanakuhusu nini pia unasema simu hawapokei.

Baada ya kuwafungulia wakakupa kazi za kuzi manage???
Nikajua peke yangu tu ndio sijaelewa
 
Kwani unazifuatilia za nini? kama ni interview si wanatoa tangazo
 
Back
Top Bottom